Well... success is a process !1, duka la mangi(2009-2012 niliacha waliniibia kila kitu)
..2: mitumba 2012-2015 alipoingia jpm ikaharibika..nihamia za dukani...wakanipigia mzigo wote kkoo ( kumbuka nna kaajira pia .so jion ndo nakaa dukani)..[emoji38][emoji38][emoji11]..2016 nikaingia kwa kilimo..tikiti... Mchicha , pilipili tango, tembele..strawberry till 2018 nilipopata ajali nikaachana na kilimo kabisa!
2019- ( hapa kuna juice ya miwa, mikopo midogo dogo, mama lishe)-till date nimeamua kuwa msafiri kafiri[emoji4]!( nafind solutions zaidi)
Nadhani nna idea zaidi kwa kilimo coz nimezaliwa kwa familia inayopractice sana kilimo cha kisasa na ufugaji[emoji243][emoji243]!
kifupi hela naimanya vilivyo na inajua najua kuifata ...ugumu naumanya!
Pia kwa biashara nna idea nzur tu coz dingi had leo anapractice...so usishangae ukaniona nacomment hata kwenye mbishe za mbao...anaifanya sana hii so nna idea nayo coz sipendi kupitwa... Hutaniona nacomment kwenye alizet, dengu, rupia..et all! na mazao mengine!
Relax....!Iam not just a sweet talker!
Napenda maisha yasio na bugudha za hela kwahyo dawa ni kuzitafuta kwa hali na mali!