godson meku
Member
- Aug 13, 2016
- 26
- 7
Hapo mkuu naona itapendeza kama utaweza mtolea ufafanuz kidgo hyo biashar ya samak akakwelewa n samak wabich/ wakavu atakua anachukulia wap na bei yake ya manunuz kwa jumla ikoje.!Biashara ya samaki inalipapo sana