Naombeni ushauri wa chaguo sahihi kati ya haya

Una kipato gani kwa mwezi? Nikijua hilo nitakushauri.
 
The other option is to buy a land and build a house while you still at the current place hahaaaa friendship ends whenever friends start to compete against each other
 
The other option is to buy a land and build a house while you still at the current place hahaaaa friendship ends whenever friends start to compete against each other

Ok wise one
 

Ok bora nihame
 
Yaani nakua bored,asubuhi wote wanaondoka na ndinga mimi nachukua boda…Hali hii sipendezwi nayo
Achana na mawazo ya ndinga, Tafuta biashara ufanye, usihame hapo. Katika maisha mtu mkubwa unayeshindana naye ni wewe mwenyewe, ndio maana ushauri wa kwanza uliambiwa ''grow up", Maana yake jua kwanini unatakiwa kuwa wewe kama wewe.
Maisha yako wewe ndio dereva wake, amua tokana na malengo uliyonayo.
Hongera kwa kuwa na akiba ya 4M mwanzo mzuri.
 

Hapo kwenye biashara ni wazo jingine.
 
Nikitoka ushauri hapa

 
Wewe n kijana wa rika langu,acha nikuambie kitu,iv unahisi wao walivyonunua magari walimuiga nani?waliona kwa level waliyofikia wanapaswa watembelee matacle thus y wakanunua,sasa wewe unataka ununue gar tena ukope more than 3 milion ili uendane nao how it's possible??haya tufikiri umekopa ela ukanunua gar kabla hujamaliza kulipa mkopo wa gari wakanunua viwanja wakaanza ujenzi huon utapata stress??pangilia maisha yako,,tuliza hilo bichwa kaa sehem tulivu chora mipango yako alaf Anna kuitekeleza taratibu.

N.B;kama unaona unateseka hapo tafuta sababu ambayo haitovunja urafiki wenu uhame hapo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Let me pass through it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…