Naombeni ushauri wa chaguo sahihi kati ya haya

ushawahi kupiga PUNYETO.......kama hujawahi piga siku moja......then think about it baada ya kumaliza......haya maisha....hii dunia inakuhusu wewe tuuu......fanya kazi kwa bidii utimize ndoto zako.......usiishi kujilingalisha......achana na maisha hayo ya ghetto......wala usifikirie kupanga ...think to own.....ukiweza kupiga jitahidi kila asubuhi....
 
Hama haraka sana
 
Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
Nini Boda?. Ww panda Dala Dala kabisa. Ishi maisha yako. Ukiishi kwa kuiga utateseka Sana apa duniani. Iyo pesa kanunue kiwanja jenga ingiza wapangaji, pesa unayopata nunua tena kiwanja jenga kwa ajili yako, Baada ya apo tafuta gari la uwezo wako... Tumbua maisha.

La mwsho, kwani umeoa mkuu?
 
Maisha Ni ushindani , kujifunza, uvumilivu, kujipa muda , Nakuamini katika process, sio kila kitu unachotaka kukifaya Basi utakifanya tu baada ya usiku 1 na usije kuacha mipango yako ya msingi ambayo imelenga kufikisha sehemu Fulani utakayo changia kutimiza Malengo Fulani kisa tu umemuona Fulani kafanya Jambo fulani ,

May take --katika dunia yetu ya sasa gari ni muhimu Sana
 
Ushauri babkubwa
 
Nafuta hela ujenge nyumba ya maana uache kupanga.Hapo utakuwa umeua ndege zaidi ya wawili wa wakati mmoja

•Umekaa mbali nao
•Umewazidi (kuwa na mali yenye thamani kuliko yao)
•Hulipi tena kodi kama wao
 
Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
The best option ni kufanya tofauti na wao. Nunuaa kiwanja, jenga!

Kwa milioni 4 unapata kiwanja huku malamba mawili kikubwa tu.

kumbuka ardhi inaongezeka thamani day after day, gari inakupa starehe huku unaihudumia wewe. Inaweza kuibiwa, kuungua ama kupata ajali. Gari sio assuarance ya urithi wa baadae.

nitafute 0713096076
 
Nimeshawai kupitia hali kama yako mzee, inaumiza sana sana sana, ila option namba mbili ndio kila kitu na mimi nilifata option iyo, usiwasikiliza hao wanao sema kuwa sijui usinunue gari maana utashindwa kuliudumia, kila kitu kinapangwa na mungu nunua gari pambana na mambo yote yatakaa sawa.
 
Bro i am 29, have a wife and kid, and a business but i have no car..and i feel great every morning. Acha udaslamu, hio 4million fungua biashara baada ya miake minne nunua gari na bado unabaki na biashara yako.
 
option zote mbovu jiwekee malengo usifanye anasa weka malengo ya 20M ndani ya miaka miwili ufungue biashara in 2024, hao wote hujazaliwa nao be yourself young Boy
 
umemaliza kila kitu sina cha kusema.
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…