Naombeni ushauri wa chaguo sahihi kati ya haya

Uncomfortable situation ni ishara inayokuonesha sasa unahitaji mabadiliko ya kutoka hatua moja kwenda sehemu nyingine kimaisha.

Wengi tunakosea hatua hii kwa kuchagua maamuzi yasiyo sahihi ili ku impress watu na ndo mwanzo wa kupoteza mwelekeo.

Ushauri wangu; jikumbushe mawazo uliyokuwa nayo kabla ya kuwa na hiyo pesa then yatumie hayo mawazo kuizalisha hiyo pesa. Nunua hata pressure compressor uwe unawajazia upepo wanakulipa pesa. Ikiwezekana unanunua na vifaa vya car wash, kila wikend wao pesa itawatoka nawe pesa itaingia.

Don’t give a damn abt a people bro nobody is care about you. A worst mistake is to let someone to drive your fu*n life.
 
mnajishughulisha/ unajishughulisha na nini niweze kukushauri
 
None of the above.Gari sio priority yako kwa sasa.Jenga Uhamie kwako kama unaona Jau
 
Samahani kwa maswali mengi mkuu ila nahitaji kujua hili kiundani Ili niweze kukushauri vizuri.
Ilikuwa ni mwezi upi na upi?

Wawili mwaka jana,wawili January na mwingine February
 
Kwa hiyo ukiamua kuhama kutoka hapo unapoish utakuwa ukitafuta nyumba ya kupanga huku ukimwekea mashsrti mwenye nyumba ya kuwa ili upange kwake ni lazima asiwe na wapangangaji wenye magari? Pia asiruhusu mpangaji mwenye gari kupanga katika nyumba hiyo kwa sababu wewe umepanga?

Acha utoto fanya yako acha maisha ya kuigiliza.
 
Kabla sijatoa ushauri naomba kujua Umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
Naelewa unachopitia, kuna jamaa yangu mmoja ni mfanyakazi wa Tanesco hapa nilipo. Na yeye pia alinunua gari kwa kulazimisha kisa wenzake wote wamenunua magari ili kukwepa unyonge.

Lakini kwa sasa gari inamnyonya sana maana inambana sana na anashindwa kufanya hata maendeleo. Kuhudumia gari kama una kipato cha kuunga unga ni mtihani.
 
Kingine nikuulize, hao jamaa zako wana magari ya aina gani? Na je walinunua kwa mtu au USED nje?

Mie nina miaka 25, hadi sasa nimeshamiliki magari 11 kwa nyakati tofauti, japokuwa kwa sasa nina magari matatu kwa pamoja.

Ni mwaka sasa nimepanga naishi kwa kujitegemea japokuwa ilikuwa ngumu kuondoka home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…