Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

hivyo vipimo msiviamini mia kwa mia. Ampende tu mkewe. ajifanye kama hakuna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo siyo roho Ya kiume. hata Simba huwa hawezi Lea watoto wa mwenzio! Si kirahisi namna hiyo dada yangu! Hakuna issue Mbaya tena mbaya kwa Mwanaume Kama hii labda uwe mwanaume wa Dar! Inawezekana jamaa akawa na wasiwasi tu labda upimaji wa hospital unazidisha siku lkn kiujumla hapa mwanaume Kama akiamua kukubali yaishe atakuwa kichaa in a along run maana kugongewa ni kama kupewa sumu ya kukuua taratibu. Au iwe bora lawama kuliko fedheha! Atangaze yuko singo
 
Km jamaa anataka aishi maisha yake bla stress na amuache tuu, kugongewa mke au kulea mimba ya mtu mwngne aliyakuwa unajua n kama umewekewa sumu unakufa taratibu... Hakna ujasiri kwny kulea mtt wa mwenzako,,,, hivi vitu vinaumaa nyiee achen masikhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu sisi wabongo ni kukosa kumuamini mkeo. Unaenda kumtangaza mkeo kwa watu na haswa walio karibu na weye ati kaliwa, kaliwaaaa. Hii ni laana. Ajue watu humcheka kwani hawezi kumuacha. Hivi wanaume tungekuwa tunachorwa mistari hata ka ni myembamba usoni, huoni wengine tungesha fikia miguuni?

Mheshimu mkeo, na kamwe usitoe siri zako za ndani. Usimwonee shaka ati kwa kuwa hukumkuta bikra. Kwani weye ulikuwa bikra?? Kwani ulionyeshwa mahali pale pa kutumbukiza fimbo

Ushauri;

Mkaripie tena kwa ukali kabisa. Mwambie kitanda kamwe hakizai haram. Amtunze mkewe tena aanze kumnunulia udongo wa kichuguu ili toto limfanane. Tena mwambie ni marufuku kumsema vibaya mkewe. Angojee ka hiyo si yake kakitoka hako katoto aweke hapo cha kwake
 
Wanaume wa siku hizi ni ......hatar kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan kabla ya ndoa alikua hajakutana nae kimwili tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuomba ushauri wa ndoa kwenye mitandao hakujawahi kuiacha ndoa salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usha**mbewa mkuu, pole sana haya mamb huwa ni siri, piga moyo monde.
 
Sasa hapo shida mbona hakuna, kumpa mwanamke mimba na nimkeo kuna shida gani?
 
Acha ujinga mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…