Naombeni ushauri wakuu

Naombeni ushauri wakuu

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Mimi sio mgeni hapa JF,

Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha na kuniambia kuwa hajawahi kunipenda na ananichukulia kama kaka au rafiki yake.

Wengi wenu apa Jf mlinishauri kuwa nisi mtafute tena. Lakn licha ya maumivu, uchungu na hisia mbaya alizo sababisha kwangu, nimeona ni vema nimtafute, tuwe na mahusiano ya Urafiki wa kawaida. Chuki yote na maumivu Makali yamekishwa japo kuwa bado na mpenda ( na almost mwezi sijawasaliana nae na yy hajanitafuta)

Lakn kiroho safi mm napenda nimjulie Hali na tuzidi kuwa marafiki tu.

Naombeni ushauri wakuu apo nipo sahihi kufanya ivo
 
Kati ya member wanaotumia JF vizuri, mmoja wapo ni wewe. Nyuzi karibia 10, zote unaomba ushauri. Safi.

Turudi kwenye mada. Yani kamwezi kamoja kakuchuniana ndio unakaona karefu? Watu wanapotezeana mwaka, na siku wakionana tu, wanaresume walipoishiaga, after kugegedana, ndio wanaombana msamaha.

Ukimtafuta tu, tambua lazima mrudiane. Ukimtupa jongoo, tupa na mti wake
 
Naombeni sana, najua Huwa mnawasikiliza Akina Chris Mauki, Dr Mwaka na wenye porojoporojo.


Basi, ifike Mahali,. Kwenye changamoto z Mahusiano muwe mnanitag , msiache kunitag .

Mimi nachowashauri ni kwasababu Nina uzoefu nacho


Maajabu ,mnaenda kuwasikiliza Akina Dr Mwaka, Mapadre na Maaskofu, Tena mnawapa Hela nyingi!!.

Shauri yenu bana Ngoja Dunia ya Wanawake iendelee kuwatoa machozi, na Bado, nasema nabadooooooooooo !!. Mpaka makamasiiii yatawatoka Mbwa nyieeee
 
Huyo ni mwanamke mmoja ndiyo anakutesa....hivi huu uchumi wa kati tumefika fikaje kweli kama vichwa vyetu ndiyo hivi 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom