MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Mimi sio mgeni hapa JF,
Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha na kuniambia kuwa hajawahi kunipenda na ananichukulia kama kaka au rafiki yake.
Wengi wenu apa Jf mlinishauri kuwa nisi mtafute tena. Lakn licha ya maumivu, uchungu na hisia mbaya alizo sababisha kwangu, nimeona ni vema nimtafute, tuwe na mahusiano ya Urafiki wa kawaida. Chuki yote na maumivu Makali yamekishwa japo kuwa bado na mpenda ( na almost mwezi sijawasaliana nae na yy hajanitafuta)
Lakn kiroho safi mm napenda nimjulie Hali na tuzidi kuwa marafiki tu.
Naombeni ushauri wakuu apo nipo sahihi kufanya ivo