Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
😅😅😅 Jamaa anaomba sana ushauri. Sijui hata kama unaufanyiaga kazi 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuona lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 Jamaa anaomba sana ushauri. Sijui hata kama unaufanyiaga kazi 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuona lakini
Subiri ukikua utaacha huo ujinga wa kumngangania mtu jua thaman Yako mtu kama hakutaki achana nae utakufa n pressure ukiwa bado mdogo fanya mambo ya maendeleoMimi sio mgeni hapa JF,
Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha na kuniambia kuwa hajawahi kunipenda na ananichukulia kama kaka au rafiki yake.
Wengi wenu apa Jf mlinishauri kuwa nisi mtafute tena. Lakn licha ya maumivu, uchungu na hisia mbaya alizo sababisha kwangu, nimeona ni vema nimtafute, tuwe na mahusiano ya Urafiki wa kawaida. Chuki yote na maumivu Makali yamekishwa japo kuwa bado na mpenda ( na almost mwezi sijawasaliana nae na yy hajanitafuta)
Lakn kiroho safi mm napenda nimjulie Hali na tuzidi kuwa marafiki tu.
Naombeni ushauri wakuu apo nipo sahihi kufanya ivo
Seriously, mana I feel lonelyNitafute mimi tupige story mkuu achana nae kama anakupotezea