Naombeni ushauri wakuu

Naombeni ushauri wakuu

Mimi sio mgeni hapa JF,

Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha na kuniambia kuwa hajawahi kunipenda na ananichukulia kama kaka au rafiki yake.

Wengi wenu apa Jf mlinishauri kuwa nisi mtafute tena. Lakn licha ya maumivu, uchungu na hisia mbaya alizo sababisha kwangu, nimeona ni vema nimtafute, tuwe na mahusiano ya Urafiki wa kawaida. Chuki yote na maumivu Makali yamekishwa japo kuwa bado na mpenda ( na almost mwezi sijawasaliana nae na yy hajanitafuta)

Lakn kiroho safi mm napenda nimjulie Hali na tuzidi kuwa marafiki tu.

Naombeni ushauri wakuu apo nipo sahihi kufanya ivo
Subiri ukikua utaacha huo ujinga wa kumngangania mtu jua thaman Yako mtu kama hakutaki achana nae utakufa n pressure ukiwa bado mdogo fanya mambo ya maendeleo
 
Mkuu tatzo lako ww binafsi haujipendi then unataka huyo mdada akupende ! Sio rahis upendwe wakati ww haujipendi ,cha kwanza kabsa jiangalie ww kwanza usiruhusi mtu yoyote kukuumiza , ukiweza kujipenda kwanza ww hutaruhusu hisia hasi zozote zikuumize , hata aje yesu tatzo lako halitatibika kama kwanza hautajijali na kujitanguliza ww kwenye kila kitu .
 
Pole lakini kama moyo wako unakuuma mtafute uupoze moyo

Ila jua atakae kuiponya nafsi yake ataiangamiza.
 
Keep yourself busy mzee. Time is solution. Kama umetokea umependa sana, wale professional consultants wa mambo ya mapenzi wanashauri ni ukate mawasiliano. Kama unamba yake kwa kichwa huwezi sahau hata ukifuta unaweza fanya yafuatayo.
1. Mute status zake. Unaweza baki na namba ila status mute yaani akipost status wewe usione. Pia change settings za DP yaani profile yako ionekane kwa walio on your contact tu.
2. Kama yuko IG ni mtu wa kupost post jaribu ku unfollow. Don’t block wewe unfollow isi usiweze pata updates zake.
3. Keep your self busy. Huku watakuambia ooh tafuta manzi mwingine but believe me it doesn’t work maana ukishamaliza tendo akiondoka utakuwa una muwaza yeye. Go out sehemu ambazo unajua yule huwezi kumkuta. Jichanganye sana yaani kuwa na timetable usikae idle.
4. Jipende, change your hairstyle. Badilisha muonekano wako just to recreate ile confidence uliokuwa nayo.
5. Try to do this for 21 days. Mshirikishe mungu wako and ukifanikiwa huyo atakutoka tu.


Tafadhari.
Ukifanya hio 4 vizuri hawa viumbe wanapenda kurudi na kujidai kuanzisha maongezi. I am warning you. If you have feelings for that woman FRIENDSHIP is suicidal. Yaani akikucheki usimchunie just jibu short sio wewe kuendeleza maongezi na usikubali kukutana mpaka atleast hizo 21 days.
 
Mmh,ngumu kumeza?inamaana umeshindwa kuendelea na maisha mengine?kuna mda ukifika utona kawaida
 
Nitafute mimi tupige story mkuu achana nae kama anakupotezea
 
Acha ufala. Kwan ulizaliwa nae. Ningekuwa karibu ningekulamba makofi. Mwanamke akikwambia Hakuhitaji ondoka, usitumie moyo kufikiri, tumia akili ya kichwani.

Ukimpotezea miaka miwili tu utamsahau na ukija kutana nae miaka miatano baadae atakuwa possibly amepigwa mimba matiti yameshuka, mwili umeshabadilika hauna mvuto tena. Ukiomuona hivi utajiuliza ilikuwaje hata ukawa na ufala wa kumng'ang'ania.

Wanawake wanashort life span ya kuringa maana wakishapata watoto ni ngumu sana kuwa tena na mvuto thats why wana maamuzi ya kukurupuka sana. So waelewe wanatakiwa kuwa na pupa katika maamuzi yao.

Tatizo unaonekana haujichanganyi huko mitaani kuna pisi nzuri balaa na watoto wanaojielewa vuta m'moja hapo uweke ndani
 
Tatizo lako huwa haupo siriazi na mada zako hivo tunashindwa kukupa ushauri mzuri siku ukiwa siriazi ndo me ntakushauri
 
Moyo wako unataka kufanya hivyo sababu bado unampenda, it is not easy kumove on lkn bora usimtafute imagine umemtext halafu asikujibu au achelewe kukujibu si utaendelea kuumia. Ww muache tu mpotezee kabisa utaweza kumsahau n swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom