Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Mmh ndugu yangu anapitia shida ndio maana nakutonya haraka usikubali either umuoe kwa ridhaa yako au ukate mawasiliano
Hiyo ni zari usiiache kama ana uwezo wa kujimudu for sure hatakusumbua kuhusu matumizi ya mtoto ukipendezwa vuta kabisa uweke ndani awe mke.
 
Hiyo ni zari usiiache kama ana uwezo wa kujimudu for sure hatakusumbua kuhusu matumizi ya mtoto ukipendezwa vuta kabisa uweke ndani awe mke.
Fikiri kabla ya kutenda nani kazungumzia matumizi sisi tunazungumzia kugandwa gandwa . Ndio shida eti huna time na mtu ila yeye anatime na wewe hii ni kero sijui mtoto wako anataka hiki kile ukitaka raha olewa oa umtakaye ndio raha
 
Usianzishe jambo ambalo huwezi kulimaliza,Kaa chonjo.Mwambie aende Mhimbili Kuna sperm Bank.Kama shida ni mtoto.Vinginevyo akishabeba mimba atakusumbua hadi uone dunia chungu.
 
Kwamba huyo mtoto hatataka kumjua baba ake,ukijichanganya usije kuleta uzi wa kulialia hp jf[emoji18]
 
Huyu anataka ukamzagamue tu. Hakikisha unampima UKIMWI na Homa ya Ini kabla hujamzagamua!
 
I'm still figuring out how to get rid of her. Without hurting her
 
Since u posted HERE,,, ilikuwa jan 05
Mpaka leo bado mnazungushana kama KUKU?
Mm ndio namzungusha. Afu shughuli zangu zinanibana so sioni muda wa kukutana nae
 
...anachagua mbegu bora kwa kadri ya matakwa ya fikra zake.

Endelea kuongea nae baada ya mavuno,
Nini itakuwa hatma ya mahusiano yenu?

Angalizo;
Mwenyezi Mungu alipoweka fungano la ndoa, ilikuwa pia ni kwa ajili ya haki ya baba, mama na mtoto.

Usijetumika tu kama sperm donor kisha baadae ukakosa rights zako kwa mtoto.
 
Mrejesho.

Nimefanikiwa kutotimiza matakwa yake. Nashukuru kwa ushauri wenu, zawaid bora kwa watoto ni kua na wazazi walio kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…