Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

2000 afu nipo jf toka 2014. Mbegu zipo hazina kazi
Usithubutu kuzaa na mwanamke usiyempenda kama mke mtarajiwa, hii itakuharibia future yako.
Hutapata familia yenye amani.

Pili mwanamke asikudanganye eti atalea mtoto yeye, siku akisikia umechumbia utaona cha moto.

Hili ni kaburi jipya unachimbiwa...kimbia usiliwe kimasihara
 
Hakuna mwanaume anayejitambua atakubali mwanae awe na mama wa aina hiyo. Have you asked yourself ameact namna hiyo kwa wanaume wangapi? Unamjua kwa kiasi gani huyo mwanamke na tabia zake? Umejiuliza kwanini atake mtoto tu na sio mahusiano serious? Je hauoni hiyo ni dharau kwamba anakuona haufai kuwa baba? Kwa umri alionao ni evidence tosha kwamba ana experience ya kutosha na wanaume wa aina zote na wewe ni mmoja wa wapite njia. Pia anaonekana ni kichwa ngumu vilevile, na kwakua amekuzidi umri basi tegemea akuendeshe kwa stress kama ukimzalisha. Sababu ameshakusoma na anajua wewe ni mtu simple kumkimbiza.

Na utambue hakuna kitu kinachoitwa mtoto wa mzazi mmoja. Na hakuna kitu kibaya kama kuzaa na mwanamke usiyempenda au uliyetaka kujenga nae familia.

Kuna high possibility kwamba huyo anaweza kuwa mke wa mtu, lakini mumewe ni tasa/mgumba (sijui correct term hapo) na anataka achukue mwanao ampeleke huko.

Jiulize upo tayari ndani ya miaka 10 kuona mwanao analelewa na mwanaume mwengine?
Imagine mtoto aje kutambua sababu ya yeye kuzaliwa? Imagine ungekuwa wewe ndio huyo mtoto?

Mkuu wanawake fundamentally ni vichwa maji lakini ni emotional intelligent creatures, hivyo cheza nao kwa akili na ujue jinsi ya kuwacontrol kupata utakacho. Kamwe usikubali akuendeshe, atakupoteza.

Ushauri ni kwamba kama kupiga basi piga hilo ni dodo limejidondosha miguuni chini ya mnazi. Lakini kuwa makini kumzalisha. Maisha ya binadamu mwingine sio ya kuyachezea.

Huyo angenikuta mimi, baada ya wiki angesahau kama kuna habari za mtoto.
 
Mimi nilikuwa siogopi ukimwi japo sipendi condoms ila nilikuwa siuzi mechi hovyo japo kuna baadhi niliuza.

kitu nilichokuwa naogopa ni hicho unachaka kufanya, rafu zote nilizocheza mbususu zote nilizotafuna nilikuwa siogopi ukimwi ila nilikuwa naogopa kuzaa na mwanamke ambae sitamuoa, napenda watoto wangu wapate malezi ya baba na mama tena tuishi familia moja. Taabu ya kulea mtoto ambae hukai nae sikutaa huo usumbufu.

Nashukuru mungu sasa nina mke na watoto wawili sina mtoto wa nje,
kweli
 
Dah uko njema sana aise unaandika mada za kiutu uzima sana kwa maana ya kwamba zimeshiba na educative sana
Ahsante sana mkuu sema kwa upande wangu hua nachukulia kama adhabu kwa uwezo wa kutafakari vitu vilivyo nje ya umri wangu. Why???
  • Mfalme suleiman kwenye kitabu chake cha muhubiri anasema kwamba "panapo maarifa ndio penye chanzo cha huzuni masikitiko makubwa"
  • Pia mwandishi Charles Bukowask anasema kwamba kadri ya jinsi unavyojua vitu vingi ndio furaha yako na amani inatoweka.
Mfano:
  1. Kichwani kwangu hua kuna mavitu meeengi sana yaani natafakari mambo meengi yaani ili nipate ahueni ni mpaka niviandike maana mm sio muongeaji mzuri.. Ninayoamdika ukiniambia niyazungumze utajionea kituko. So kuna muda hua nalala saa kumi usingizi hauji nawaza mambo ambayo hata ukimueleza mtu anakuona kichaa.
  2. Nashukuru kuifaham jf maana ndio mahali pekee napotolea mizigo ya fikra nilizonazo kichwani... I wish ningekua Author au Screenwriter.
  3. Nimetumia muda mwingi kuwa na watu wazima nikiwa mdogo maana since nipo 15yrs nipo humu kabla ya kujiunga so kiukweli sijafaidi ujana wangu na mengi ya ujana yamenipita.
Faida.
-Jf na duniani huku si watu wazima au wadogo wamekua wakiniamini katika kuwapa ushauri kwenye maswala yanayowatatiza.
-Hua najizolea ujiko nikiongea na watu coz I know alot of things kasoro mpira tu so wengi hupenda kunisikiliza kile nachoongea. ❤️
 
Jaribu kujiuliza wewe mwenyewe kama ungelikuwa na nafasi ya kuchagua baba kabla ya kuzaliwa ungelikuwa tayari kuwa na baba wa aina yako? Ukipata jibu lifanyie kazi case closed.
 
Chai hiii kabisa.....ulipozingua Ni hapo mwishoni, unaomba ushauri then Bado unatamani kuwa nae, Kama sio undezi wa kimpenzi Ni Nini Sasa..........hata ww mkuu hii inasikitisha sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini upendavyo sir but hua sidanganyi unless id yangu umeanza kuisoma leo
 
Jaribu kujiuliza wewe mwenyewe kama ungelikuwa na nafasi ya kuchagua baba kabla ya kuzaliwa ungelikuwa tayari kuwa na baba wa aina yako? Ukipata jibu lifanyie kazi case closed.
Swali gumu hilo bro😀
 
Tulia mdogo wangu acha pupa. Kila jambo na wakati wake. Usikubali huo mtego unaotegewa. Kwanini usambaze mbegu zako bila mpangilio. Achana na huyo dada.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
🤔🤔🤔Thoughtful. Nilitaman maishani mwangu watoto wote wazaliwe ndani ya ndoa ya RC. Thank you sir for this piece of advice
 
Back
Top Bottom