Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Hahahah

Mambo ya akina Mr. Blue hayo miaka ya 2000's . Na ndiyo sababu kubwa iliyowafanya wasanii wengi waliozoea kutunga nyimbo za mapenzi ya namna hii kupotea kimuziki.

Ikaja awamu ya wasanii wenye kujituma na kuonesha jinsi mwanaume mwenye pesa anavyomtafuta na kisha kumpata mwanamke mrembo.

Ushauri kwako Da vincci ,we mpe mimba tu ,unajua kuzaa na mwanamke mrembo ni raha sanaaaa hapa duniani.
Mkuu ushauri wako ni mbaya!!! Eti ni raha
 
Your registration status says you are in JF since 2016. But anyways why should you ask us this question dude?. In anycase If I were you, I would've taken a chance the moment she told me about her wish.
Aisee kwahiyo nachezea bahati??
 
Jichanganye uzae na ujidanganye eti hatakusumbua nkuapia hata usutawi wa jamii atakufikisha shauri Yako usijesema hukuambiwa?
 
Mkuu unanitisha sasa 😀
Mimi nilikuwa siogopi ukimwi japo sipendi condoms ila nilikuwa siuzi mechi hovyo japo kuna baadhi niliuza.

kitu nilichokuwa naogopa ni hicho unachaka kufanya, rafu zote nilizocheza mbususu zote nilizotafuna nilikuwa siogopi ukimwi ila nilikuwa naogopa kuzaa na mwanamke ambae sitamuoa, napenda watoto wangu wapate malezi ya baba na mama tena tuishi familia moja. Taabu ya kulea mtoto ambae hukai nae sikutaa huo usumbufu.

Nashukuru mungu sasa nina mke na watoto wawili sina mtoto wa nje,
 
Back
Top Bottom