Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #121
Umri sio mada kuuYaani binti wa 96 anakuzidi umri? Anyway hii JF kuna vijana wadogo sana kwa umri kumbe
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri sio mada kuuYaani binti wa 96 anakuzidi umri? Anyway hii JF kuna vijana wadogo sana kwa umri kumbe
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
We ungemwambia tufanye for fun cos nyinyi hamna future unazalisha tatizo lingine hapoOk nitafanya hivo shida sex kasema atakaua ananipa kwenye danger days tuu
Kwanini hauna demu?Shida sina dem ndio tatizo linapoanzia😭😭😭
Your registration status says you are in JF since 2016. But anyways why should you ask us this question dude?. In anycase If I were you, I would've taken a chance the moment she told me about her wish.2000 afu nipo jf toka 2014. Mbegu zipo hazina kazi
huku una siku 5 haujakata mkuu..kulia kupokezana.TANESCO ni wasengerema tu, wanakata umeme siku nzima masaa zaidi ya 13 bila sababu za msingi bila taarifa yoyote ni shirika la kijinga kabisa
Nimecheka sana ikabidi nivute kumbukumbu😁Sina mke... Mkuu
Ila sijui hata kavutiwa nini, sura yangu inahitaji uwe na alcohol kichwani ili kuona kama mm navutia/hb😀
Akajidip na ww ukampigia..hayaa twenfe kaziKwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.
====
Binafsi mbali na utani na utundu wangu naokua nao huku Jf. Ila huku duniani nimtu tofauti nimezubaaa saaaaana +Shyness (Sorry if it sound weird). Kutokana na jinsi nilivyo swala zima la kupata mwanamke kwangu hua kipengele sana🏃♂️🏃♂️🏃♂️
So for the past 2 months kuna mgahawa nilikua napenda kula maramoja moja. Nikifika pale nafanya kilichonipeleka tu just salam, kuagiza chakula nasema ahsante kisha ninapita hivi.
Sasa mmiliki mwenye mgahawa mdada alikua akiniona ananichangamkia sana.. As a man nikawa nishajua she's into me. Coz kuna muda nilikua napata huduma kuliko kiasi cha pesa nacholipia.
Sasa siku moja tuko na wengine workers nikawa nami naongea hapo ndio akapata chance ya kuwa anazungumza nami. Mara nyingi sana amekua akisema live kua she's into me. Mm hata sijali najua utani. Juzi hapo ndio akaniomba namba yangu nikachukua simu yangu akajidip nikawa na namba yake.
Sasa jana jioni akawa ananitext na kueleza anachotaka kwangu... Kiufupi huyu dada anataka azae na mimi. Yaani anasema anataman azae na mimi tu basi🤔🤔. Nilijua anatania nikiamwambia saa mbili nitapita alipo aonge live hicho anachotaka kama kweli yupo serious.
Jioni nikaenda alipo akanipiga mistari kama yote hadi nikamwambia hii haijawahi tokea maishani mwangu😀
Kama kawaida yetu wanaume hua ni maharage ya mbeya mbele ya vocals za wanawake ilibidi nikubali tu ili nisionekane mnyonge/boya.
Nilimwambia mm sijajipanga kuzaa au kuoa mwaka huu yeye akasema hana shida na kuishi na mimi.. Hahitaji hata shing mia yangu anachotaka tu mm nimzalishe.
Ameniambia yeye ana nyumba yake ya urithi na frame za urithi mjini zenye wapangaji +plus mgahawa yeye anahitaji mtoto nami tu hata nisumbua kwa lolote.
Tatizo ananizid miaka kadhaa maana yeye ni wa 96 mimi wa ....... Ila sura, tako shepu matata vyote vipo
Sasa wakuu nipeni muongozo juu ya hili swala niamue nini kuhusu swala la kuzaa nae. Maana siwezi susia free utelezi. Mwenyewe anataka Jpili hii tuanze shughuli ya kumtia mimba😬😬😬
Kwa wapenda pichaView attachment 2862817
View attachment 2862818