Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Hapana si kweli.Shida sina dem ndio tatizo linapoanzia😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana si kweli.Shida sina dem ndio tatizo linapoanzia😭😭😭
Demu si huyo unae,hunaje tena?Shida sina dem ndio tatizo linapoanzia😭😭😭
Ahsante nitamuuliza sema yeye anachosema anahitaji mtoto wa kiume eti nimzalishe as if ashaona mbegu zangu zitatoa wa kiume tu. Kuna mda alikua anakaa mara ananichunguza nywele zangu. Nina asili ya nywele nyingi, mara kile basi anasema mpaka mwaka huu uishe inatakiwa awe na mtoto toka kwangu.USijichanganye kabisa. Muulize kwanini msianzishe mahusiano then swala la mtoto lije baadae? Mkomalie hapo then uanze kumchunguza ila msisitize mtoto haupo tayari uone msimamo wake
Huyo ni wako mzee baba tayari anakuelewa.Si demu bado sijampitisha
Mmzalishe uone kila rangi. Hizo trick na nyege zinamchanganyaAhsante nitamuuliza sema yeye anachosema anahitaji mtoto wa kiume eti nimzalishe as if ashaona mbegu zangu zitatoa wa kiume tu. Kuna mda alikua anakaa mara ananichunguza nywele zangu. Nina asili ya nywele nyingi, mara kile basi anasema mpaka mwaka huu uishe inatakiwa awe na mtoto toka kwangu.
The heck is this
Eeeh tena😳😳😳😳Nitajie wawili tu unaowafaham mkuu
imagine ni katoto ka 2000Totoo, mtoto 😂
Dah ila hizi fake ID ni noma, nilikuwa najuaga huyu mwamba ni 40's.
Nilitaman kupendwa ila upendo wa huyu dada unaniogopesha walah. Siwezi oa mwanamke aliyezaliwa kuanzia 99 kupanda juu😬😬Hapo nilipobold hapo, sina ushauri wasikilize ma bro.
Hata hivyo mimi sio muumini wa wagawa mbegu, na wapokea mbegu huku na kule, no offense.
Ila Vinci ingekuwa hiyo pisi iko yenyewe yenyewe ningekushauri uwe naye, narudia hamna kitu kizuri kama kuwa na mwanamke anayekupenda.
Hapo mwishoni ngoja nione chakufanya.
Ushamuita mmama hafu unasema nimvute ndichi hunitakii mema bro. Jumapili nataka nikae nae maanga tuzungumze zaidi nimsomeNakuamini Vinci. Ila kwa ushauri wangu, kama huna mahusiano yenye mwelekeo wa kuwa yamda mrefu (akili imekataa kuandika 'ya kudumu') basi msome kwanza huyo mama kama anaeleweka unaweza kumvuta ndichi mkafanya maisha nae kama na wewe umemwelewa.
Sikutarajia kabisa kwa kweliimagine ni katoto ka 2000
Niliposema "mama" nimemaanisha mwanamke.Ushamuita mmama hafu unasema nimvute ndichi hunitakii mema bro. Jumapili nataka nikae nae maanga tuzungumze zaidi nimsome