Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #61
Kwanini uzanie mm nina umri sawa na Bujibuji Simba Nyamaume ??Totoo, mtoto 😂
Dah ila hizi fake ID ni noma, nilikuwa najuaga huyu mwamba ni 40's.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uzanie mm nina umri sawa na Bujibuji Simba Nyamaume ??Totoo, mtoto 😂
Dah ila hizi fake ID ni noma, nilikuwa najuaga huyu mwamba ni 40's.
Huh.. huyu mtoto alimpataje? Au ndii kwa style hiyo hiyoSiwezi muoa ni single mom. Sina wazo la kuoa for now
Ahsante mkuu maana nisije vuruga malengo yangu kisa mwanamke.Mkuu Da'Vinci
Mbegu za kiume zikishaingia kwenye UKE, hugeuka na kuwa mali halali ya Serikali.
Chochote kitakachofuata hapo huwa kinakuwa chini ya mujibu wa sheria na vifungu vyake(haijalishi mmekubaliana vipi na binti, ila sheria ndio itaamua). Mlichozungumza na Binti hakitapewa kipaumbele KABISA wakati sheria inatumika.
HIVYO: Kama haupo tayari kuchukua jukumu la kulea huyo Mtoto atakayezaliwa, basi kaa mbali sana na huyo mwanamke, na kama huna control na nyege zako, basi tumia CONDOM.
Be a man, usipende kuendeshwa na NyeGe. Stay Focus.
Nilianza kuwaza kuwa yaweza kuwa ndio hivyo. Ila yaweza kuwa sio hivyo.Unajitumia meseji unajijibu mwenyewe stop this madness
Kabisa kabisa kaka anguKati ya zawadi nzuri na kubwa unayoweza kuwapa wanao, basi ni kuwafanya wawe na Mama mmoja.
Kuwa na watoto wenye wazazi tofauti tofauti, inaleta usumbufu sana mbeleni. Zingatia ilo mkuu.
I'm out.
😂😂😂😂Ila wewePiga mzigo alaf mpe juice yenye p2 akishika mimba niite mbwaaaaa
USijichanganye kabisa. Muulize kwanini msianzishe mahusiano then swala la mtoto lije baadae? Mkomalie hapo then uanze kumchunguza ila msisitize mtoto haupo tayari uone msimamo wakeSijajua. Maana sijauliza kabisa kuhusu hilo
Hapo nilipobold hapo, sina ushauri wasikilize ma bro.Sanaaa... My first woman wakati nabarehe alinipigaga mistari yeye ilikua ni kituko siku hiyo full aibu😀😀
She's married now to another man
Ahsante kwa ushauri wako pisikali ngoja nifanye hivo. Sema shida yeye target yake ni ujauzito tu. So atakua ananipea danger days. Siwezi muoa yeye ni mkubwa afu kashazaa
Ngoja niwe nae tu. Afu pm yangu haifunguki since last week mods wamenipotezea kama hawaoni. I missed someone
Aisee pole mkuu. Haya mambo yapo mm wanajf wanasema eti najichatisha mwenyewe. Ila ngoja nimpotezee kuhusu kuzaaHAya mambo mnaweza yachulia simple but trust me hii generation inaelekea kuchanganyikiwa. Huyu nimekua nae kwenye mahusiano kitambo kidogo ila alianza mauza uza mwenyewe nikaamua kuvunja mahusiano ila kabla ya hapo amekua na maombi ya aina hii toka 2019 mi namkazia kwa kumpa vi ahadi. Huyu ye ni wa 95
Nakuamini Vinci. Ila kwa ushauri wangu, kama huna mahusiano yenye mwelekeo wa kuwa yamda mrefu (akili imekataa kuandika 'ya kudumu') basi msome kwanza huyo mama kama anaeleweka unaweza kumvuta ndichi mkafanya maisha nae kama na wewe umemwelewa.Sijafika kiwango hicho cha ujjnga nimekua Gentamycine mimi?
Muda ulonaao nao sasa ni muda wa kufikili na kuangalia kati ya madem ulionao ni yupi anafaa kwa matumizi ya familia,, yupi mwenye afya njema ambae ataweza kumudu kubeba ujauzito ma yupi mwenye akili timamu.Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.
====
Binafsi mbali na utani na utundu wangu naokua nao huku Jf. Ila huku duniani nimtu tofauti nimezubaaa saaaaana +Shyness (Sorry if it sound weird). Kutokana na jinsi nilivyo swala zima la kupata mwanamke kwangu hua kipengele sana🏃♂️🏃♂️🏃♂️
So for the past 2 months kuna mgahawa nilikua napenda kula maramoja moja. Nikifika pale nafanya kilichonipeleka tu just salam, kuagiza chakula nasema ahsante kisha ninapita hivi.
Sasa mmiliki mwenye mgahawa mdada alikua akiniona ananichangamkia sana.. As a man nikawa nishajua she's into me. Coz kuna muda nilikua napata huduma kuliko kiasi cha pesa nacholipia.
Sasa siku moja tuko na wengine workers nikawa nami naongea hapo ndio akapata chance ya kuwa anazungumza nami. Mara nyingi sana amekua akisema live kua she's into me. Mm hata sijali najua utani. Juzi hapo ndio akaniomba namba yangu nikachukua simu yangu akajidip nikawa na namba yake.
Sasa jana jioni akawa ananitext na kueleza anachotaka kwangu... Kiufupi huyu dada anataka azae na mimi. Yaani anasema anataman azae na mimi tu basi🤔🤔. Nilijua anatania nikiamwambia saa mbili nitapita alipo aonge live hicho anachotaka kama kweli yupo serious.
Jioni nikaenda alipo akanipiga mistari kama yote hadi nikamwambia hii haijawahi tokea maishani mwangu😀
Kama kawaida yetu wanaume hua ni maharage ya mbeya mbele ya vocals za wanawake ilibidi nikubali tu ili nisionekane mnyonge/boya.
Nilimwambia mm sijajipanga kuzaa au kuoa mwaka huu yeye akasema hana shida na kuishi na mimi.. Hahitaji hata shing mia yangu anachotaka tu mm nimzalishe.
Ameniambia yeye ana nyumba yake ya urithi na frame za urithi mjini zenye wapangaji +plus mgahawa yeye anahitaji mtoto nami tu hata nisumbua kwa lolote.
Tatizo ananizid miaka kadhaa maana yeye ni wa 96 mimi wa ....... Ila sura, tako shepu matata vyote vipo
Sasa wakuu nipeni muongozo juu ya hili swala niamue nini kuhusu swala la kuzaa nae. Maana siwezi susia free utelezi. Mwenyewe anataka Jpili hii tuanze shughuli ya kumtia mimba😬😬😬
Kwa wapenda pichaView attachment 2862817
View attachment 2862818
Shida sina dem ndio tatizo linapoanzia😭😭😭Muda ulonaao nao sasa ni muda wa kufikili na kuangalia kati ya madem ulionao ni yupi anafaa kwa matumizi ya familia,, yupi mwenye afya njema ambae ataweza kumudu kubeba ujauzito ma yupi mwenye akili timamu.
Hawa watu wa kukuomba yeye hapana mwambie tu katafute mwingine ww pia unavigezo vyako.
Sikutegemea utakuwa mdogo kiasi hichoKwanini uzanie mm nina umri sawa na Bujibuji Simba Nyamaume ??