Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Unajitumia meseji unajijibu mwenyewe stop this madness
Kwahiyo hapa nilikua najipigia??
_20240105_201933.JPG
 
Aliyeandika huu ni ile ID ya Da'Vinci ya kila siku au kuna mtu kachukua simu yake?
Ndio huyo huyo ndo maana nimeomba radhi kwanza maana nimeokopa kufanya maamuzi bila kushirikisha nyie wakubwa zangu
Anyway ukisoma uzi kwa akili ya kawaida tu, inaonesha mwamba ushaelekea kibra...

1. Nikukumbushe tu, kumbuka kupima vipimo vikubwa kabla hujadinyana...
Ahsante nitazingatia hili maana ni ngumu sana kuruka kiunzi cha kupewa free sex
2. Kiumbe au viumbe wataozaliwa watakuwa wa kwenu nyote, mwanaume si jogoo la kuazima...
Binafsi hata mm naogopa maana nishajiwekea ahadi atakae zaa nami ndio nitakua nae but kwa hili daah. Kweli ndio maana adam nae alikula tunda
 
kwa heshimu zote kwako Da'Vinci


Can I give you some advice Da'Vinci ?? well I'm gonna give it to you anyway I don't want you to make the same mistake when I was young

Are you listeninG ?? fvck a lot of women Not just one women a lot of Women
Not just one woman right dawg😀 Ushauri wako mbaya Azythromycine zimepanda bei ujue
 
Umri usiwe kigezo maana hata kama mm wa 2000 nitakua Nina 24yrs sasa. I'm Quite a man
Umejiunga jf ukiwa na miaka 14 😂😂😂😂.
Huenda story ni ya kweli ila hizo tofauti za miaka rekebisha.

Ushauri.
Nyege zisikuendeshe, utakuja kujuta sana.
 
Hakuna mwanamke utazaa nae asihitaji uwepo wako kwa namna yeyote either uwepo wako au financially time ya mimba as long as anajua upo atahitaji uwepo wako kwa 100% je uko tayari kwa hili. Akishajifungua jua uchumi wake utashuka what do you think of that? Kulea so lelema kuanzia mimba mpaka atapojifungua lets utastick kwenye hayo makubaliano je utakua tayari kwa kesi za ustawi wa jamii for child support
All in all hakuna mwanamke ataacha kukusumbua kwa hili unless uwe tayari kwa yote

WEEDING IN VEGAS STAYS IN VEGAS
 
Maana siwezi susia free utelezi. Mwenyewe anataka Jpili hii tuanze shughuli ya kumtia mimba
Mkuu Da'Vinci

Mbegu za kiume zikishaingia kwenye UKE, hugeuka na kuwa mali halali ya Serikali.

Chochote kitakachofuata hapo huwa kinakuwa chini ya mujibu wa sheria na vifungu vyake(haijalishi mmekubaliana vipi na binti, ila sheria ndio itaamua). Mlichozungumza na Binti hakitapewa kipaumbele KABISA wakati sheria inatumika.

HIVYO: Kama haupo tayari kuchukua jukumu la kulea huyo Mtoto atakayezaliwa, basi kaa mbali sana na huyo mwanamke, na kama huna control na nyege zako, basi tumia CONDOM.

Be a man, usipende kuendeshwa na NyeGe. Stay Focus.
 
Kumbe wanaume ni maharage ya mbeya? Nimecheka sana Vinci.

Ushauri wangu: ni bahati nzuri sana kuzimikiwa na mwanamke, ukipendwa na mwanamke mapenzi kwako yanakuwa rahisi sana, ila take your time kama umempenda na wewe na kama tabia zake zinakuridhisha ingia naye kwenye mahusiano, msianzie mimba, anzieni mahusiano, utajua vingi kuhusu yeye ndio utaamua uzae nae au upotee.

Unaweza kugawa sperm zako ukajakujutia kwanini umeunganisha undugu na huyo mtu.

Ila kama mkianzia kwenye mahusiano una chances za kuwin mengi.

All the best boo.
 
Hakuna mwanamke utazaa nae asihitaji uwepo wako kwa namna yeyote either uwepo wako au financially time ya mimba as long as anajua upo atahitaji uwepo wako kwa 100% je uko tayari kwa hili. Akishajifungua jua uchumi wake utashuka what do you think of that? Kulea so lelema kuanzia mimba mpaka atapojifungua lets utastick kwenye hayo makubaliano je utakua tayari kwa kesi za ustawi wa jamii for child support
All in all hakuna mwanamke ataacha kukusumbua kwa hili unless uwe tayari kwa yote
Umenifumbua macho mkuu daah nilikua nachukulia simpo simpo I will reconsider my consideration (in rango voice)
WEEDING IN VEGAS STAYS IN VEGAS
Umenikumbusha muvi ya The Hangover 1-3
 
Fupa la Jini hilo, hapo unakuta katumia hizo meseji njemba ka 10, wale watakaoingia mkenge anajiandaa kuwaomba child support ya laki 3 kila mwezi, hapo kama ziliingia njemba 5 mkenge kwa mwezi anauhakika wa kukunja 1.5.mil per month. Jiongeze mkuu. Hapo ndio unakuta mtoto mmoja ana vyeti vya kuzaliwa kama vitano hivi
 
Kumbe wanaume ni maharage ya mbeya? Nimecheka sana Vinci.
Sanaaa... My first woman wakati nabarehe alinipigaga mistari yeye ilikua ni kituko siku hiyo full aibu😀😀
She's married now to another man
Ushauri wangu: ni bahati nzuri sana kuzimikiwa na mwanamke, ukipendwa na mwanamke mapenzi kwako yanakuwa rahisi sana, ila take your time kama umempenda na wewe na kama tabia zako zinakuridhisha ingia naye kwenye mahusiano, msianzie mimba, anzieni mahusiano, utajua vingi kuhusu yeye ndio utaamua uzae nae au upotee.
Ahsante kwa ushauri wako pisikali ngoja nifanye hivo. Sema shida yeye target yake ni ujauzito tu. So atakua ananipea danger days. Siwezi muoa yeye ni mkubwa afu kashazaa
Unaweza kugawa sperm zako ukajakujutia kwanini umeunganisha undugu na huyo mtu.

Ila kama mkianzia kwenye mahusiano una chances za kuwin mengi.

All the best boo.
Ngoja niwe nae tu. Afu pm yangu haifunguki since last week mods wamenipotezea kama hawaoni. I missed someone
 
Dogo kuwa makini vinginevyo unaenda kutengeneza familia iliyoparanganyika.
 
Back
Top Bottom