Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, nmekuelewa ntaufanyia kazi ushauri wako mkuuJambo jepesi sana hilo, kaa na boss wako mueleze ukweli ili siku nyingine huyo kichaa akija afukuzwe hapo ofisini kwako na hata asiruhusiwe kuingia... Jambo la pili nenda police kashitaki anakuja kazini kwako kukutishia maisha na kukuharibia kazi yako... Jambo la tatu kimya kimya nenda kazini kwake omba kuonana na boss wake au HR waeleze mfanyakaz wao anakuja kazini kwako na watu kukutishia maisha na kukuharibia kazi... Jambo la 4 hakikisha umeiandikia barua ofisi yake ijue mfanyakaz wao mambo anayokufanyia kazin kwako...
MWSHO KABISA usije ukajitoa akili ukarudiana na huyo jamaa hata kwa bahat mbaya usikubali utakua mpumbavu wa mwisho... Halafu acha kuogopa na kutia huruma pambana dunia ukijifanya mpole hadi mbwa atakuchezea akili...
FUATA USHAURI HUU.nimemkataa lakini sasa vitisho vyake, sielewi amepanga kunifanyia nini kazini kwangu
Asante mkuu ntalifanyia kazi kuanzia keshoFUATA USHAURI HUU.
Jambo jepesi sana hilo, kaa na boss wako mueleze ukweli ili siku nyingine huyo kichaa akija afukuzwe hapo ofisini kwako na hata asiruhusiwe kuingia... Jambo la pili nenda police kashitaki anakuja kazini kwako kukutishia maisha na kukuharibia kazi yako... Jambo la tatu kimya kimya nenda kazini kwake omba kuonana na boss wake au HR waeleze mfanyakaz wao anakuja kazini kwako na watu kukutishia maisha na kukuharibia kazi... Jambo la 4 hakikisha umeiandikia barua ofisi yake ijue mfanyakaz wao mambo anayokufanyia kazin kwako...
MWSHO KABISA usije ukajitoa akili ukarudiana na huyo jamaa hata kwa bahat mbaya usikubali utakua mpumbavu wa mwisho... Halafu acha kuogopa na kutia huruma pambana dunia ukijifanya mpole hadi mbwa atakuchezea akili...
😊 usihuzunike, hiyo ni fursa, fungua YouTube Channel, akiwa anakuja ofisini mrecord rusha kwenye channel yako, na jina la hiyo Series nakupa, the real life of a stranded stupid guy.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaa jaman[emoji4] usihuzunike, hiyo ni fursa, fungua YouTube Channel, akiwa anakuja ofisini mrecord rusha kwenye channel yako, na jina la hiyo Series nakupa, the real life of a stranded stupid guy.
Ongea na walinzi hapo ofcnHabari wana jf,
Niende moja kwa moja kwenye mada, toka mwaka 2020 kuna mwanaume nilikua nampenda sana in short hata mahusiano yetu ni mimi ambaye nlichochea anitongoze.
Nilikua najua mahali alipokua anafanya kazi kwahiyo ilikua rahisi kwangu kumwekea mitego mpaka aliponitongoza mwenyewe.
Mwanzo wakati tunaanza mahusiano alikua akinipenda na kunijali sana, kiukweli nilikua nampenda sana na sikuwahi hata siku moja kumdanganya wala kumsumbua kwa namna yoyote ile wala sikuwahi hata kumwomba au kutumia hela zake ni vile tu nilikua sitaki kuwa mzigo kwake.
Lakini ghafla tu akabadilika nikimpigia simu hupokei na ikitokea amepokea ananiambia subiri nitakupigia siku inaisha nikimsumbua sana anaweza akapokea na asiongee.
Nilikua naweza nikatuma sms ikajibiwa baada hata ya siku mbili au tatu, kwasababu ya mimi kuwa busy sana na kazi nilikua nashindwa kwenda kumuona ofisini kwake.
Nilivumilia ile hali kwa karibu mwezi mzima, nilivyopata tu likizo nikasema nimtafute tuongee nijue shida nini lakini kila nikiomba appointment napewa kalenda.
Aliniblock kawaida na WhatsApp nliumia sana, kuna siku nikafanya tu suprise kwenda nyumbani kwake usiku kwavile anaishi mwenyewe nikamkuta yupo na mwanamke na jinsi walivyokua wamevaa huwezi ukasema ni dada au ndugu yake.
Alinifukuza na kuniambia hanijui kabisa kiukweli nililia sana na niliumia sana, kama wiki hivi iliisha sikumtafuta na kuna mwanamke alikua kila siku ananitumia sms za matusi na kuniambia nikae mbali na mpenzi wake.
Japo niliumia lakini nikasema isiwe shida nkaamua nikae kimya na nika move on kabisa, toka yametokea hayo yote mwezi wa sita sasa lile tukio nishalisahau kabisa na nipo naendelea na kazi na mambo yangu mengine.
Nashangaa leo mtu anakuja ofisini na watu wengine wawili wanadai eti ni kaka zake wamekuja kuniomba msamaha eti hadi analia, kwa kuondoa aibu nliomba tu ruhusa nikatoka nao kwenda kuongea nao nje kidogo na ofisini.
Anasema nisipo mkubalia atakua anakuja kila siku kazini kwangu na atahakikisha ananichafulia cv yangu pale ofisini.
Kiukweli wamenidhalilisha sana kwasababu ofisini kila mtu ananiona mtu wa maana na ni mtu ambaye hata sijawahi kuwa na skendo zozote mbovu najiskia aibu hata boss nitamueleza nini, nimemkatalia lakini haelewi.
Naombeni msaada wenu wakuu natakiwa kufanya nini maana sielewi huyu mtu amepanga kunifanyia kitu gani.
Natanguliza shukrani [emoji120]
Jinga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mtego mdogo huo unachanganyikiwa,ukishasoma huu ujumbe inuka uende polisi kamshtaki waambie hivi
"kuna kaka anakujaga hapa ofisini anauza madawa ya kulevya ananilazimisha niwe msambazaji hapa ofisini kwetu"
Ananiambia nikikataa watanifanyia mbaya,naombeni mnusuru maisha yangu...halafu unalia kidogo.
Fuata huo ushauri uliojibu hapo kwamba utaifanyia kazi kwa comment hii.. nasisitiza na kukazia fuata huu ushauriAsante mkuu ntalifanyia kazi kuanzia kesho
Mambo MkuuTunajua wewe...ni.doctor sasa yote hayo ya nini?
Kama uko kwenye mahusiano mengine, mtumie huyo uliyenaye kutatua hiyo haliout tena?, sitaki ukaribu na yeye tena
Ok, kama humtaki kabisa, mwambie utaripoti polisi kwa usumbufu anao kufanyia.hapana, sipo kwenye mahusiano
Asipofata huu ushauri wako atakua hana akili sawasawa nakazia apoUlikosea sana kumtega ili akutongozee
Alikuwa hakupendi
Cha kukushauri ni mwelezee bosi wako full scenario ili mambo yasije kuvurugika mbeleni ila ila ila ila ila ila usikae kumrudia huyu mwanaume utajijengea kaburi lako
Yangu ni hayo tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]