Naombeni ushauri wenu kwenye hili

Naombeni ushauri wenu kwenye hili

KWANZA POLE NA HONGERA
'pema si pema tena kama ulishapema'
Kama ulishampenda na yeye alikufanyia machukizo ya ktoto kiasi hicho nawez kusema don't waste your time anymore kwa sababu alishindw ata kudanganya , Pesa huku muomba ,urijihudumia mwenyew , ulimpenda zaid ulimfumania akakukana na hata baadae hakukutafuta kujitetea na kukubembeleza Huyo si mwanaume mwenzetu , come and love me anyway

La pili mahusiano kitu cha kawaida kaaa muelezi kwa ufup sana boss wako kuwa huyo ni x wako lakn analazmsha mrudiani na zaid ameahid kuja kunichafua (ikiwezekan kafungue kesi uwe na R.B incase ) baada ya taarfa nazn mlinz atapew taarfa kwahiyo hatowez kuruhusiw kuingia kwa taasisi kipuuzi .


Nakutakia utekelezaji mwema , anyway ulivyo muv onnn ulimpata mwingne
 
KWANZA POLE NA HONGERA
'pema si pema tena kama ulishapema'
Kama ulishampenda na yeye alikufanyia machukizo ya ktoto kiasi hicho nawez kusema don't waste your time anymore kwa sababu alishindw ata kudanganya , Pesa huku muomba ,urijihudumia mwenyew , ulimpenda zaid ulimfumania akakukana na hata baadae hakukutafuta kujitetea na kukubembeleza Huyo si mwanaume mwenzetu , come and love me anyway

La pili mahusiano kitu cha kawaida kaaa muelezi kwa ufup sana boss wako kuwa huyo ni x wako lakn analazmsha mrudiani na zaid ameahid kuja kunichafua (ikiwezekan kafungue kesi uwe na R.B incase ) baada ya taarfa nazn mlinz atapew taarfa kwahiyo hatowez kuruhusiw kuingia kwa taasisi kipuuzi .


Nakutakia utekelezaji mwema , anyway ulivyo muv onnn ulimpata mwingne
Asante kwa ushauri mkuu
 
msikilize kwa kweli hii situation tunakutana nayo sana wanaume kwa sababu finally unakuja kugundua mwanamke bora kwako kwa kuoa na kuishi naye ni yule anayekupenda so please jaribu kumwambia kama angalau anataka kukuona kupima kama yupo serious sana ..

pleas rudisha moyo nyuma hii inatokea kabisa na ni majuto sana kwa sisi wanaume.
 
Pambana sema ni matapeli.. washitaki kwa bosi.. jali kazi yako.. kila mtu ana drama zake maishani..
Men,
If you are putting more effort into the relationship than her,
Then,
She is putting effort into another man's relationship.
You are wasting your time there.
Respect yourself and leave.
 
Mahusiano ya kurejeana mara nyingi yanasababishwa au visasi sikushauri kurejeana nae, kuhusu aibu jaribu kuongea naye vizuri na hata umwambie boss wako yaliyotokea.

Ikiwa ngumu kamripoti ukicheka na mbwa.....
 
Kuna watu wengine ni wapuuzi kuliko hata upuuzi wenyewe, akosee yeye alafu aje na vimasharti uchwara, huyo jamaa ni mpuuzi kuwahi kutokea sijui ulitoka wapi na mtu mpuuzi kiasi hicho, mshukuru Mungu kukuengua mikononi mwa huyo jamaa.

Ukirudiana nae utakua unakosea sana.
True.
Also many of us will attest that,
The relationship is way easier,
When she is the one who builds on the bonding in the relationship,
While you deal with the vision.
Many women like to do this
" As we go see your new livestock and farm, let's make it a fun road trip! "
 
Kwanza huyo ni mpuuzi sasa Kama anakupenda kweli kwanini afikirie kukuharibia endapohuta msamehe.

Wewe endelea tu na kazi zako achana na huyo mpuuzi na pia uache tabia ya kujitongozesha.

Mwanamume akikusotea kwa muda ndipo anakuthamini si vinginevyo.
Men,
Modern females deserves less. Everyone and every sphere of the society: gives , praises , simps and worships females, they won't appreciate your chivalry and it will be misread as simping! But give less and make them earn your attention.
 
Huyo kisheti wakati unajilengesha, alikuwa na mauhusiano tayari.

Bahati mbaya watu si wa kweli, huenda sasa wameshamwagana anataka kuja kujipoza kwako.

Mkatae katakata, mchukulie RB tu asikuharibie kazi.

Ndiyo kitu pekee anataka kukufanyia, ukose kazi uanze kuhangaika na maisha.
Men,
When you meet a woman who you would like, escalate and strike immediately.
The worst that can happen is rejection, this is better than regret
Deep down, she is yearning for you to make the move

#MasculinitySaturday
 
[emoji4] usihuzunike, hiyo ni fursa, fungua YouTube Channel, akiwa anakuja ofisini mrecord rusha kwenye channel yako, na jina la hiyo Series nakupa, the real life of a stranded stupid guy.
A truly masculine man:
  • Takes responsibilty for himself
  • Does not complain
  • Solves the problem
  • Chases his purpose and not cheap pleausure
  • Has self-control and discipline
A masculine man never invests himself too much into a woman.
 
Yaani mtego mdogo huo unachanganyikiwa,ukishasoma huu ujumbe inuka uende polisi kamshtaki waambie hivi
"kuna kaka anakujaga hapa ofisini anauza madawa ya kulevya ananilazimisha niwe msambazaji hapa ofisini kwetu"
Ananiambia nikikataa watanifanyia mbaya,naombeni mnusuru maisha yangu...halafu unalia kidogo.
Life, women, and success have one major thing in common:

They respect, value, and reward men who are strong, bold, brave, high energy, who lead, and those who are framed!

You attract what you want when you’re who you’re supposed to be.
 
Habari wana jf,

Niende moja kwa moja kwenye mada, toka mwaka 2020 kuna mwanaume nilikua nampenda sana in short hata mahusiano yetu ni mimi ambaye nlichochea anitongoze.

Nilikua najua mahali alipokua anafanya kazi kwahiyo ilikua rahisi kwangu kumwekea mitego mpaka aliponitongoza mwenyewe.

Mwanzo wakati tunaanza mahusiano alikua akinipenda na kunijali sana, kiukweli nilikua nampenda sana na sikuwahi hata siku moja kumdanganya wala kumsumbua kwa namna yoyote ile wala sikuwahi hata kumwomba au kutumia hela zake ni vile tu nilikua sitaki kuwa mzigo kwake.

Lakini ghafla tu akabadilika nikimpigia simu hupokei na ikitokea amepokea ananiambia subiri nitakupigia siku inaisha nikimsumbua sana anaweza akapokea na asiongee.

Nilikua naweza nikatuma sms ikajibiwa baada hata ya siku mbili au tatu, kwasababu ya mimi kuwa busy sana na kazi nilikua nashindwa kwenda kumuona ofisini kwake.

Nilivumilia ile hali kwa karibu mwezi mzima, nilivyopata tu likizo nikasema nimtafute tuongee nijue shida nini lakini kila nikiomba appointment napewa kalenda.

Aliniblock kawaida na WhatsApp nliumia sana, kuna siku nikafanya tu suprise kwenda nyumbani kwake usiku kwavile anaishi mwenyewe nikamkuta yupo na mwanamke na jinsi walivyokua wamevaa huwezi ukasema ni dada au ndugu yake.

Alinifukuza na kuniambia hanijui kabisa kiukweli nililia sana na niliumia sana, kama wiki hivi iliisha sikumtafuta na kuna mwanamke alikua kila siku ananitumia sms za matusi na kuniambia nikae mbali na mpenzi wake.

Japo niliumia lakini nikasema isiwe shida nkaamua nikae kimya na nika move on kabisa, toka yametokea hayo yote mwezi wa sita sasa lile tukio nishalisahau kabisa na nipo naendelea na kazi na mambo yangu mengine.

Nashangaa leo mtu anakuja ofisini na watu wengine wawili wanadai eti ni kaka zake wamekuja kuniomba msamaha eti hadi analia, kwa kuondoa aibu nliomba tu ruhusa nikatoka nao kwenda kuongea nao nje kidogo na ofisini.

Anasema nisipo mkubalia atakua anakuja kila siku kazini kwangu na atahakikisha ananichafulia cv yangu pale ofisini.

Kiukweli wamenidhalilisha sana kwasababu ofisini kila mtu ananiona mtu wa maana na ni mtu ambaye hata sijawahi kuwa na skendo zozote mbovu najiskia aibu hata boss nitamueleza nini, nimemkatalia lakini haelewi.

Naombeni msaada wenu wakuu natakiwa kufanya nini maana sielewi huyu mtu amepanga kunifanyia kitu gani.

Natanguliza shukrani [emoji120]
Tamaa tamaa tamaa.., ndio kitu iko inasumbua binadamu wa leo. Kakuweka pemben, kala bata na Mali mupya mwisho wa siku kaona hakuna kitu pale bora wa zamani, daah chonde chooonde usirogwe kurudi kwenye hiyo kitu.
 
sawa ntajitahd asije kucheza na hisia zangu
Dear Men,

Be careful not to invest all your emotions to a woman

Women will not see your emotional twists about them

You will die of depression and a different man will penetrate that woman immediately after your burial

Don't be a slave!
 
Mi ni muaminifu na niko singo ila hamnifati mnafata majamaa ambao hawajatulia mnasubiri hadi siku nioe ndo muanze kuja ndoa yangu iharibike
 
Back
Top Bottom