Naombeni ushauri wenu kwenye hili

Jambo jepesi sana hilo, kaa na boss wako mueleze ukweli ili siku nyingine huyo kichaa akija afukuzwe hapo ofisini kwako na hata asiruhusiwe kuingia... Jambo la pili nenda police kashitaki anakuja kazini kwako kukutishia maisha na kukuharibia kazi yako... Jambo la tatu kimya kimya nenda kazini kwake omba kuonana na boss wake au HR waeleze mfanyakaz wao anakuja kazini kwako na watu kukutishia maisha na kukuharibia kazi... Jambo la 4 hakikisha umeiandikia barua ofisi yake ijue mfanyakaz wao mambo anayokufanyia kazin kwako...
MWSHO KABISA usije ukajitoa akili ukarudiana na huyo jamaa hata kwa bahat mbaya usikubali utakua mpumbavu wa mwisho... Halafu acha kuogopa na kutia huruma pambana dunia ukijifanya mpole hadi mbwa atakuchezea akili...
 
Asante, nmekuelewa ntaufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
nimemkataa lakini sasa vitisho vyake, sielewi amepanga kunifanyia nini kazini kwangu
FUATA USHAURI HUU.

Jambo jepesi sana hilo, kaa na boss wako mueleze ukweli ili siku nyingine huyo kichaa akija afukuzwe hapo ofisini kwako na hata asiruhusiwe kuingia... Jambo la pili nenda police kashitaki anakuja kazini kwako kukutishia maisha na kukuharibia kazi yako... Jambo la tatu kimya kimya nenda kazini kwake omba kuonana na boss wake au HR waeleze mfanyakaz wao anakuja kazini kwako na watu kukutishia maisha na kukuharibia kazi... Jambo la 4 hakikisha umeiandikia barua ofisi yake ijue mfanyakaz wao mambo anayokufanyia kazin kwako...
MWSHO KABISA usije ukajitoa akili ukarudiana na huyo jamaa hata kwa bahat mbaya usikubali utakua mpumbavu wa mwisho... Halafu acha kuogopa na kutia huruma pambana dunia ukijifanya mpole hadi mbwa atakuchezea akili...
 
Asante mkuu ntalifanyia kazi kuanzia kesho
 
Ongea na walinzi hapo ofcn
 
Jinga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asipofata huu ushauri wako atakua hana akili sawasawa nakazia apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…