fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Unamshauri ujingaGive him a second chance, but this time wewe ndo uyaendeshe mahusiano.
Ila hii ni kama bado unampenda na hujawa seriously booked. Huwezi jua
Ni maamuzi yangu kuchangia sawa na Kichwa changu kilivyonituma .Tunajua wewe...ni.doctor sasa yote hayo ya nini?
Asante kwa ushauri mkuuKWANZA POLE NA HONGERA
'pema si pema tena kama ulishapema'
Kama ulishampenda na yeye alikufanyia machukizo ya ktoto kiasi hicho nawez kusema don't waste your time anymore kwa sababu alishindw ata kudanganya , Pesa huku muomba ,urijihudumia mwenyew , ulimpenda zaid ulimfumania akakukana na hata baadae hakukutafuta kujitetea na kukubembeleza Huyo si mwanaume mwenzetu , come and love me anyway
La pili mahusiano kitu cha kawaida kaaa muelezi kwa ufup sana boss wako kuwa huyo ni x wako lakn analazmsha mrudiani na zaid ameahid kuja kunichafua (ikiwezekan kafungue kesi uwe na R.B incase ) baada ya taarfa nazn mlinz atapew taarfa kwahiyo hatowez kuruhusiw kuingia kwa taasisi kipuuzi .
Nakutakia utekelezaji mwema , anyway ulivyo muv onnn ulimpata mwingne
NAKAZIAUlikosea sana kumtega ili akutongozee
Alikuwa hakupendi
Cha kukushauri ni mwelezee bosi wako full scenario ili mambo yasije kuvurugika mbeleni ila ila ila ila ila ila usikae kumrudia huyu mwanaume utajijengea kaburi lako
Yangu ni hayo tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] usihuzunike, hiyo ni fursa, fungua YouTube Channel, akiwa anakuja ofisini mrecord rusha kwenye channel yako, na jina la hiyo Series nakupa, the real life of a stranded stupid guy.
Men,Pambana sema ni matapeli.. washitaki kwa bosi.. jali kazi yako.. kila mtu ana drama zake maishani..
True.Kuna watu wengine ni wapuuzi kuliko hata upuuzi wenyewe, akosee yeye alafu aje na vimasharti uchwara, huyo jamaa ni mpuuzi kuwahi kutokea sijui ulitoka wapi na mtu mpuuzi kiasi hicho, mshukuru Mungu kukuengua mikononi mwa huyo jamaa.
Ukirudiana nae utakua unakosea sana.
Men,Kwanza huyo ni mpuuzi sasa Kama anakupenda kweli kwanini afikirie kukuharibia endapohuta msamehe.
Wewe endelea tu na kazi zako achana na huyo mpuuzi na pia uache tabia ya kujitongozesha.
Mwanamume akikusotea kwa muda ndipo anakuthamini si vinginevyo.
Men,Huyo kisheti wakati unajilengesha, alikuwa na mauhusiano tayari.
Bahati mbaya watu si wa kweli, huenda sasa wameshamwagana anataka kuja kujipoza kwako.
Mkatae katakata, mchukulie RB tu asikuharibie kazi.
Ndiyo kitu pekee anataka kukufanyia, ukose kazi uanze kuhangaika na maisha.
A truly masculine man:[emoji4] usihuzunike, hiyo ni fursa, fungua YouTube Channel, akiwa anakuja ofisini mrecord rusha kwenye channel yako, na jina la hiyo Series nakupa, the real life of a stranded stupid guy.
Life, women, and success have one major thing in common:Yaani mtego mdogo huo unachanganyikiwa,ukishasoma huu ujumbe inuka uende polisi kamshtaki waambie hivi
"kuna kaka anakujaga hapa ofisini anauza madawa ya kulevya ananilazimisha niwe msambazaji hapa ofisini kwetu"
Ananiambia nikikataa watanifanyia mbaya,naombeni mnusuru maisha yangu...halafu unalia kidogo.
Tamaa tamaa tamaa.., ndio kitu iko inasumbua binadamu wa leo. Kakuweka pemben, kala bata na Mali mupya mwisho wa siku kaona hakuna kitu pale bora wa zamani, daah chonde chooonde usirogwe kurudi kwenye hiyo kitu.Habari wana jf,
Niende moja kwa moja kwenye mada, toka mwaka 2020 kuna mwanaume nilikua nampenda sana in short hata mahusiano yetu ni mimi ambaye nlichochea anitongoze.
Nilikua najua mahali alipokua anafanya kazi kwahiyo ilikua rahisi kwangu kumwekea mitego mpaka aliponitongoza mwenyewe.
Mwanzo wakati tunaanza mahusiano alikua akinipenda na kunijali sana, kiukweli nilikua nampenda sana na sikuwahi hata siku moja kumdanganya wala kumsumbua kwa namna yoyote ile wala sikuwahi hata kumwomba au kutumia hela zake ni vile tu nilikua sitaki kuwa mzigo kwake.
Lakini ghafla tu akabadilika nikimpigia simu hupokei na ikitokea amepokea ananiambia subiri nitakupigia siku inaisha nikimsumbua sana anaweza akapokea na asiongee.
Nilikua naweza nikatuma sms ikajibiwa baada hata ya siku mbili au tatu, kwasababu ya mimi kuwa busy sana na kazi nilikua nashindwa kwenda kumuona ofisini kwake.
Nilivumilia ile hali kwa karibu mwezi mzima, nilivyopata tu likizo nikasema nimtafute tuongee nijue shida nini lakini kila nikiomba appointment napewa kalenda.
Aliniblock kawaida na WhatsApp nliumia sana, kuna siku nikafanya tu suprise kwenda nyumbani kwake usiku kwavile anaishi mwenyewe nikamkuta yupo na mwanamke na jinsi walivyokua wamevaa huwezi ukasema ni dada au ndugu yake.
Alinifukuza na kuniambia hanijui kabisa kiukweli nililia sana na niliumia sana, kama wiki hivi iliisha sikumtafuta na kuna mwanamke alikua kila siku ananitumia sms za matusi na kuniambia nikae mbali na mpenzi wake.
Japo niliumia lakini nikasema isiwe shida nkaamua nikae kimya na nika move on kabisa, toka yametokea hayo yote mwezi wa sita sasa lile tukio nishalisahau kabisa na nipo naendelea na kazi na mambo yangu mengine.
Nashangaa leo mtu anakuja ofisini na watu wengine wawili wanadai eti ni kaka zake wamekuja kuniomba msamaha eti hadi analia, kwa kuondoa aibu nliomba tu ruhusa nikatoka nao kwenda kuongea nao nje kidogo na ofisini.
Anasema nisipo mkubalia atakua anakuja kila siku kazini kwangu na atahakikisha ananichafulia cv yangu pale ofisini.
Kiukweli wamenidhalilisha sana kwasababu ofisini kila mtu ananiona mtu wa maana na ni mtu ambaye hata sijawahi kuwa na skendo zozote mbovu najiskia aibu hata boss nitamueleza nini, nimemkatalia lakini haelewi.
Naombeni msaada wenu wakuu natakiwa kufanya nini maana sielewi huyu mtu amepanga kunifanyia kitu gani.
Natanguliza shukrani [emoji120]
Dear Men,sawa ntajitahd asije kucheza na hisia zangu