Naombeni ushauri wenu kwenye hili

sihitaji kurudi nyuma tena, hakuiona thamani yangu alitesa sana hisia zangu, na nimejua hakua ananipenda kweli, apambane tu na hali yake kwakweli
 
Mahusiano ya kurejeana mara nyingi yanasababishwa au visasi sikushauri kurejeana nae, kuhusu aibu jaribu kuongea naye vizuri na hata umwambie boss wako yaliyotokea.

Ikiwa ngumu kamripoti ukicheka na mbwa.....
sawa ntafanya hivyo mkuu
 
sihitaji kurudi nyuma tena, hakuiona thamani yangu alitesa sana hisia zangu, na nimejua hakua ananipenda kweli, apambane tu na hali yake kwakweli
sasa huoni kaona una maana fikiria mara 2 jamani ndo life hilo...Hope ipo siku nawe utarudisha moyo nyuma jaribu kufikiria makosa yapo tu ndo changamoto za mahusiano na ndoa hizo .
 
sasa huoni kaona una maana fikiria mara 2 jamani ndo life hilo...Hope ipo siku nawe utarudisha moyo nyuma jaribu kufikiria makosa yapo tu ndo changamoto za mahusiano na ndoa hizo .
sidhani kama tabia yake ndo itabadilika nkirudiana nae
 
Tatizo mkitongozwa na wanao wapenda hamtaki..mnaenda kuwatega wasio wapenda na kujitongozesha ili wawatongoze... Badilikeni bhana
Be very careful about being sanctimonious, or overly judgmental.
Nobody likes sanctimonious people.
If you judge others unduly harshly when they fail,
then when you fail,
which you will at some point,
others will be inclined to judge you harshly.
 
Napinga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…