Naombeni ushauri wenu kwenye hili

Nakazia
 
Kimsingi umeshauriwa mengi. Nami naungana na wachangiaji waliosema huyo mpuuzi hakufai.

Hisia zako zilikudanganya, ukajirahisisha ili uwe nae. Kama ninavyosema hapa kila siku na leo narudia, sisi wanaume huwa hatukatai mwanamke. Ukijileta lazima tule mbususu haijalishi tunakupenda au la. Hilo ndilo lilikua kosa lako.

Sasa umepona. Yaliyopita si mdwele. ACHANA NAE
 
Chukua SMS kama ushaidi au mrekod nendaa polisi ukilifumbia macho hili nakuahidii kazi utaikosaa na utajutia maisha yako yote huyo akupendi Ila amekuwa broken na maisha anataka farja na kitonga toka kwako
 
Kakae na viongozi wako wa ofisini waeleze kama ulivyotueleza hapa.

Watakusaidia pakubwa mno.
Husithubutu kurudiana na huyo mjinga na muhuni. Ukifanya hivyo utakuwa unapita kwenye njia ya miba usiku ili hali hiyo miba ulishaiona mchana.
 
Huwa mnadate watoto wadogo kwanini?sasa mambo ya kufatana kazini ndo nini!??kamshtaki polisi mbona easy tu
 
Hiyo ndiyo faida ya shobo watu wanapita na wewe then wanalala mbele kwa kifupu mwamba anajua wewe ni dhaifu kwake..
 
Kwanza pole sana

Pili sio kosa kumpenda mtu na kumuonyesha hisia zako kwake

Tatu huyo mtu hana mapenz ya dhati kabisa na ww inaonesha dhairi ndo maana yupo tayar kukuchafua na kukuharibia sifa yko. Anajua hata ukiwa na sifa mbaya kwenye jamii yy haitamhusu maana haitatokea akakufanya kuwa mke wa maisha yke na mama wa familia yke ila anachohitaj kwa sasa aendelee kukuvua na kukutumia kumaliza haja zake za mwili baada ya hapo nahis atakuacha vibaya zaid kuliko mwanzo.

Mwisho sina cha kukushauri juu ya maamuzi gani uchukue ila tu nakushauri CHUKUA MAAMUZI UNAYOHISI WW NI SAHIHI KATIKA MAZINGIRA YAKO, ONGEA NA NAFSI YKO UTAPATA JIBU SAHIHI MAANA NAFSI YKO NDO RAFIKI YKO KIPENZI KULIKO YOYOTE HAPA DUNIANI.

ANGALIZO: USIJIUE WALA KUJIDHURU.
 
Inawezekana [emoji817] alokuwa ana starehe naye mwanzo kaachana naye, hivyo kakufata wewe back up kwake, siku wakirudiana au akapata mpya atakuacha Kama mwanzo, Mpotezee.
 
Huyo jamaa ni mpuuzi!!na kwa kua ulijitongozesha anaamini bado una chembechembe za upendo kwake,thats strange!!!anakuchukulia wew ni backup,get back to him and die young!
 
Huyo jamaa ni mpuuzi!!na kwa kua ulijitongozesha anaamini bado una chembechembe za upendo kwake,thats strange!!!anakuchukulia wew ni backup,get back to him and die young!
nishamove on rafiki yangu, nishaachana nae kabisa na amekiri hatakuja kunisumbua tena ,am now living my life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…