ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Inaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
umri wangu miaka 26.