Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Ww ndio umeongea point wengine wote wameandika ushizi humu
 
Huu sasa umekuwa ugonjwa sugu, vijana wengi wanapomaliza f6 wanafurahi kwenda chuo bila kujali kozi gani na future yake. Bora tu aingie chuo apate degree mradi tu ana vigezo. Lakini pia vyuo nao wanatoa kozi bila kuangalia soko la ajira, mradi wapate wanafunzi.
Huyu kijana anatia huruma ila like funzo kwa wengine. Usichague kozi bila malengo. Utakapomaliza kozi so what next. Political science labda aende CCM au CDM!
 
Sikiliza hii nyimbo ya Tmk wanaume famili,inaitwa Umri......utakusaidia sana huu wimbi ukiusikiliza
 

Attachments

  • videoplayback (3).mp4
    22.6 MB
wengi tumepitia kwenye matatizo kama hayo kama hutojali njoo pm ntumie no yako niwe nakutumia magari ukiuza unapata hela yako
 
Kwani we mwenyewe unaonaje bro kaza mjini wengine hatuweza kaa kwa ndugu kabisa maana akiwa na mke au mume tayar ni balaa kama uku dar ni ugenini kaza roho akili ikue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…