Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Acha ujinga ww mie nimeuza nyama za kuku miwa mafuta ya taaa Tena bila kupewa mtaji huyo Kaka yako anahuruma Sana ningekua Mimi ningekulipia na chumba miezi mitatu nakuwekea na godoro hapo tumemaliza
Hiyo kazi yako bora sio hii ya maji
 
Dah,we ni comedian au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…