Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.

Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips [emoji489] na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.

Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.

SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.

Acha ujinga....

Watu tuna masters na tunauza kahawa.....

Ninyi watu wa mikoani ambao baba zenu walibaki huko huku wazazi wetu wakija kutumikishwa huku mjini huwa mna tabu sana....mnataka kutuiga kuishi mjini baada ya kumaliza shahada za kwanza.....🤣

Sikiliza Bwashee......

Hapa mjini muhimu kupata senti ,fedha ,mpunga....

Haijalishi unafanya nini...la muhimu tu kazi ya halali....

Swahiba huna bumu tena ....swahiba HESLB hawaingizi tena mpunga katika AKAUNTI.....

Pambana sakala wewe 🤣🤣
 
toa ndogo mkuu.. bila ya jasho utakula na kulala pazuri..ukiwa tayari kwa hilo nitumie namba yako
 
Watu tushapiga debe
Kuuza ice cream,karanga
We naona life haijakupiga bado

Ova
 
Yani ukamfokea shemeji yako, na ukammaindi kwa kaka

Yeye usiku kaenda kumpa viuno na kumshika kidevu. Wewe je?
 
Kifupi wewe una pepo la umaskini la kukataa kupokea hell
Kuuza maji ni kupokea pesa .Una aibu ya kupokea pesa utakufa maskini nenda kwa Mtume Mwamposya akakuombee hilo pepo la umaskini la kukataa kupokea pesa kupitia kuuza maji likutoke

Watu wanapanga Hadi vyumba na wana familia kwa kuuza maji wewe jitu zima umekalisha makalio tu looo
 
Sasa mtoto wa kiume unaona aibu kuuza maji?
Basi nenda kadange upate pesa za ulaini.
 
Aibu ni Adui mkubwa wa Kutafuta mafanikio! Wengi hilo lilitufanya tuchelewe kupata mafaniko.
 
Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.

Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips [emoji489] na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.

Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.

SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.

Ucfanye kazi
 
Nenda kalime vijijini kule hamna mtu anakuona zaidi ya ndege za mwituni
 
Miaka 26 bado unajiona kijana mdogo 😳😳😳😳
 
Fanya hivi;
Dazani tano za maji = chupa 60
Dazani 7 za mo energy = chupa 84
Jumla = chupa 144
Ukinywa kila siku muda wa lunch chupa 2 badala ya chakula unaweza ukasavaivu siku 72 ambayo ni sawa na miezi miwili...
Baada ya miezi miwili rudi tena kwa bro mwambie mtaji umekata akuongezee tena madazani ya maji na mo energy...rudia tena mpaka akili ya chuo chuo ikutoke
 
Back
Top Bottom