Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA

Mbona Kanisani huko huko huwa wengine wanasema ni chaguo la mungu hawakatazwi? Juzi juzi hapa samia alikuwa anafungua au anachangia kanisa mbona alisifiwa akapokea sifa? Acheni kujinanii vidole na kunusa wenyewe.
 
Unaji mislead either kwa kujua au kutojua.
I am sure nachoongea, I am very Christian, niko serious kwa sababu pia naijua siasa kitaaluma,
Wewe endelea na unachoamini the end shall justify the means,
BEST WISHES and Kind Regards.
 
I am sure nachoongea, I am very Christian, niko serious kwa sababu pia naijua siasa kitaaluma,
Wewe endelea na unachoamini the end shall justify the means,
BEST WISHES and Kind Regards.
Thank you Dr Vladmir
 
Hawa ndo Maaskofu sasa hata sadaka nawapa wakale wapate nguvu ya kutusemea tena.
 
Mnakabia juu sana huyu bimkubwa atarudisha mpira golini muda si mrefu.Ngoja atoke kwao mtapigwa vijembe mpaka akili ziwakae sawa
Muuza buyu anasema kaenda kupikwa, na anapikika haswa muda huu, akirudi ana uhakika lazima awapige na za pwani😅
 
 
Tatizo kwenye mahubiri hakuna sessions za maswali na majibu, muumini ni kondoo unachoambiwa inabidi ukiamini hivyo hivyo bila kuhoji (dogma). Japo ingependeza kama mchungaji angependa deep kuelezea zile 5 wh (who, when, where, what & how) mama kakataliwa.
 
Ruka juu shuka chini umekataliwa
Ni sahihi, kwa kukataliwa kwake huko sasa ameamua kung'ang'ania na kwa king'ang'anizi chake hiki kinagharimu maisha ya watu maelfu

HIstoria ni mwalimu mzuri sana. Wako viongozi wafalme wengi ktk dunia hii waliowahi kukataliwa na Mungu pamoja na watu waliokuwa wanaowaongoza lakini walikuwa king'ang'anizi kubishana na Mungu aliyewaumba na kuwapa nafasi hizo. Mwisho wao ulikuwa ni wa fedheha na aibu sana

Unaweza kubishana na Mungu muumba wa mbingu na nchi kweli? Njia ya Mungu ni Moja tu, NDIYO na KUTII kila asemalo na aagizalo

Samia Suluhu Hassan, bado una muda mchache. Tii, achana na njia unayoiendea, UTAKUFA HAKIKA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…