Kanyigoboy
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 529
- 1,316
Wabongo bhna zile ni script tu wanafanya mule hamna ukosoaji pale ni hadaa waonekane wapo serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona upigaji unavyofanyika.Eti pesa zote hizi zimegawiwa Kwa the so called vikundi, upuuzi
Hapa maofisa wamejitakirisha hao vikundi wamesainishwa tuu Makaratasi.
View: https://www.instagram.com/p/CzMTJC9sw2P/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
HILI NALO MKALIANGALIEKwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Wabunge nao akili hamna na nitawashangaa sana kama hawatakuja na maazimio miongoni mwayo ni kubadili Baadhi ya sheria za adhabu na Kuzuia.Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Nyie ndio mnapotosha Kauli ya Rais,sijaelewa Huwa mnatafsiri mnavyotaka au mnatafsiri Kwa mantiki yenyewe ya Kauli?Walishaambiwa wajipatie maokoto kulingana na urefu wa kamba zao
View attachment 2803075
Duhh..basi wanajua kuigiza. Ngoja tuone.Wabongo bhna zile ni script tu wanafanya mule hamna ukosoaji pale ni hadaa waonekane wapo serious
Hili nalo inabidi TUKALITIZAME.Nyie ndio mnapotosha Kauli ya Rais,sijaelewa Huwa mnatafsiri mnavyotaka au mnatafsiri Kwa mantiki yenyewe ya Kauli?
Kwamba wewe Ile methali ya mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake unailewaje? Kimsingi Rais Yuko sahihi Kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake ukikata kamba au kuvuka mipaka ndio unakuwa mwizi Kwa kuingia sehemu isiyokuhusu.
Nasisitiza Kila mtu akila.kulingana na urefu wa kamba yake wizi utatoka wapi?
Watatulia baada ya muda...Kwa leo angalau wabunge wa sisiyemu wameonesha uhai wao kwa kuikemea mijizi iliyo serikali kuu na mamlaka za serikali za mitaa ambayo imetafuna mabilioni ya fedha za wavuja jasho pasipo aibu.Hebu nendeni mbele zaidi kwa kuishauri serikali liwe jua au mvua hao wezi waende wakanyoe
Komya kitafata na mambo kuendelea...Kama kweli wako serious basi tuone hatua zikichukuliwa dhidi ya hao majizi. Otherwise ni maigizo yale yale tuliyozoea.
CCM Lao moja tu, mwizi huwa hakemewi, mwizi, anauliwa, anafungwa, anafukuzwa kazi, tatizo la nchi hii, hili tabaka tawala, kuanzia ikulu(raisi), wizarani, halmashauri, local government, kote huko ni wezi watupu!Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
200% correctHilo bunge ni furahisha genge, kama kweli wanajiamini wafanye azimio la bunge kuwatoa baadhi ya mawaziri. Kinyume na hapo ni maigizo kama kawaida.
Lucas mwashabwa
Leo umeongea kma mwanadamuMimi binafsi hao wabunge hawajanifurahisha Kwa sababu Wanalalamika badala ya kuchukua hatua na namna ya kuchukua hatua ni kuja na maazimia makali na wamueleze Waziri Mkuu kwamba kama Serikali haitatekeleza maazimio wasipitishe Bajeti ijayo Kwa sababu huu ni ujinga.
Angalia hapo Tabasamu anasema taarifa 3 za CAG hakuna walichofanya.
Ndio maana Kuna haja ya Wapinzani mana awangesha table Azimio la Kuta target wahusika kabisa ila Hawa wanapiga makelele yasiyo na msingi.
Mbaya zaidi mda wa kujadili hiyo taarifa ni mdogo na umewekwa mwezi wa 11 makusudi Ili Serikali ikatafute majibu ya kufunika Kombe ikiwemo kuhonga Baadhi ya Wabunge.
Mwisho mnufaika mkubwa wa wizi ni ccm na hivyo sitarajii chochote Cha maana sana sana wataitana kwenye Kamatia za Vyama vyao huko.
Ni kaole....! Msahau 'faida' na hasara za IGA !Bunge kupiga chafya inaleta ishara gani?
Isiwe ni kaole maana nasikia kama vitu vinahusu kuharibu taswira ya chama uwa wanajifungia wao kama wao.
zankuLucas mwashabwa