NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Inasemekana namungo fc ni kigingi kinachozuia mtiririko wa asali kuwafikia wazuri hawafi!Kwa hiyo wamekubaliana ili kumtoa kafara mtu fulani wapate uhalali wa kumweka mtu wao wanayemtaka?! Anyway, kwa ile report ya CAG, hakuna namna serikali nzima ilipaswa kujiudhuru ila kwa sababu tuko kwenye shithole countries, business will be as usual!
Nasikia eti hukatas kusaini Baadhi ya Bajeti za ofisi yake zikiletwa kwa kigezo eti "mnawaibia wananchi"
Konda boy eti ana baraka zote za kulivuruga Baraza Ili asiekua na madhara ashike kwa namungo fc!
Ngoja tuone hatma!