Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

MwajabuOmary

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
384
Reaction score
418
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.

Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana wamesimamisha wagombea katika mitaa yote na vitongoji na hakuna hata mgombea mmoja kutoka vyama vyao aliye enguliwa.

MY TAKE
 
Nafikiri mtu anaweza onewa na akazidi onewa ko mtoa Uzi yawezekana malalamiko ya Chadema kuonewa yalikuwepo na bado yanajirudia ndo mana wanalalamika
 
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.

Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana wamesimamisha wagombea katika mitaa yote na vitongoji na hakuna hata mgombea mmoja kutoka vyama vyao aliye enguliwa.

MY TAKE
Hiyo mizengwe imefanyika pale ambapo CCM wamejiridhisha kuwa hawachaguliki,na kwa hivyo vyama vingine shikizi havikuweka wagombea kabisa,wao kazi yao ni pale Chadema wakiwa na jambo lao basi wananunuliwa suti za bei nafuu ili wafanyie press ya kuilaani Chadema na kumsifia Samia.
 
Back
Top Bottom