Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.
Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana wamesimamisha wagombea katika mitaa yote na vitongoji na hakuna hata mgombea mmoja kutoka vyama vyao aliye enguliwa.
MY TAKE