Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

Mbumbumbu, mpaka awamu ya 4 inatoka REA ilipeleka umeme vijiji 1000 tu tena kwa kupapasa. Awamu ya 5 vijiji 8000 vipya na umesambazwa kila kona ya kijiji
 
Mkuu tusisahau daraja la busisi feri to kigongo feri ujenzi umeanza mungu atupe Nini!. Dah!, nakupenda nchi yangu nampenda Rais wangu
Tatizo Magu kafanya mambo mengi mpaka unashindwa uwaambie lipi uache lipi hawa vyuku wa DJ Gambe
 
Mbumbumbu, mpaka awamu ya 4 inatoka REA ilipeleka umeme vijiji 1000 tu tena kwa kupapasa. Awamu ya 5 vijiji 8000 vipya na umesambazwa kila kona ya kijiji

So what! Si muwe mnamshukuru basi hata huyo JK kwa kuja na hilo wazo! Unaweza ukaniambia ndani ya awamu hii, kuna mradi wowote ambao hamjaurithi kutoka kwa watangulizi wenu?

Kila kitu kilishafanywa kitambo! sasa iweje mnataka kumgeuza kila mtu awe msukule kama mlivyo nyinyi. Hela zinazotumika ni kodi zetu! sasa iweje utukufu apewe mtu ambaye hata kodi tu kwenye mshahara wake hakatwi badala ya sisi walipa kodi?

Au kwa sababu na wewe unatoa hako ka elfu 20 kako basi unajiona una faida ndani ya nchi hii, kumbe ni takataka tu.
 
Kumbe ni wewe....

Hili wazo lako umelitupilia mbali kabisa na mkaamua kuchapisha fomu moja tu.
Balozi Ombeni Sefue anafaa kuwa Rais 2020
 
Kitugani walifanya kudadadeki? Awamu hii imewavuruga sana hamna hata hoja za maana. Kanywe konyagi ukitosheka kapande treni ukapumzike Hai
 
Mbowe sio mlevi futa kauli yako, Mbowe ni kamanda mpambanaji
View attachment 1499853
Mpambanaji!?, mlevi huyo jamaa Hadi mwanae karithi kutoka kwa dingi!. Anakunywa pombe zake Hadi ana lose control anaanguka anasingizia kakanyagwa na watu wasiojulikana halafu na nyinyi followers wake mnaamini 😂😂, haya kwenu.
 
Mpambanaji!?, mlevi huyo jamaa Hadi mwanae karithi kutoka kwa dingi!. Anakunywa pombe zake Hadi ana lose control anaanguka anasingizia kakanyagwa na watu wasiojulikana halafu na nyinyi followers wake mnaamini [emoji23][emoji23], haya kwenu.
Achana na kamanda wetu aka DJ Gambe mzee wa Faru John.
 
Huyu ndiye Magufuli
 

Attachments

  • Huyu ndo Kiboko cha Rais Magufuli 2020 ( 360 X 640 ).mp4
    51.1 MB
Mgombea wako,, amenyima watumishi stahiki Zao Kwa miaka 5!.,Hana jipya tofauti na kujitangaza full of kiki kama Meja kunta,,,Waanzilishi wake walifanya kibao Ila hawakujimwambafai kama yeye!... Vikiisha vya kuzindua na uteuzi WA kuapisha live,,aanze kuzindua vyoo vya raia,kwenye ule Mradi WA Nyumba ni choo
 
Vijana wa Lumumba hawakuwa watu wa ndio bwana kama wewe.
Walikuwa vijana waliokuwa wanajipambanua kwa hoja wakijipima na viongozi wa TANU na baadae CCM kama akina Mwl.Nyerere,Mzee Msekwa,Kingunge Ngombale Mwiru.Mzee Rashid Mfaume Kawawa.
Kuna wakati nguvu ya hoja ya vijana hao,walijikuta matatani,lakini maisha yalisonga.
Vijana hao lulu,simba wa vita ni kama
1.Osward Chimoto
2.Jenerali Ulimwengu
3.Ruth Lamek
4.Mwambungu
5.Kinyondo.
6.Prince Bagenda
7.Bi Titi Mohammed
8.Kanali Kinana.
 
Weka namba ya simu tutakupataje kirahisi
 
Kuna mtumishi wa UMMA hajalipwa mshahara wake?
 
Mbona unaniorodheshea wazee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…