Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Tongoza halafu baada ya nusu saa vocha imeisha, hana hela ya kula n. k
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiacha kutongoza vipesa vyako vinasalimika , kwa hiyo uchague kubaki na pesa zako ama kuziondoa kwa neno nakupenda tu.Tatizo ni mmeshazoea kuona vilivyotakiwa viwe ndani Sasa vipo wazi...
Vijana wa sasa wanatunza kibunda ,uchumi ni muhimu watu wanakula mikausho tu mikali.Emu iweke hio clip inaweza ikawa ni Mimi
vijana wanatafuta helaKwa kifupi, mtaani vijana wa kiume hawatongozi kabisaaaa, hali ni tetee..
Au vipi bhana,ni telegram tu mzigo hadi geto[emoji28].
Au vipi bhana
Katika wanaume 10 unaweza kukuta 2 ndiyo kamilifu.Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
UTI sugu na gono zinatuogopesha.Umeona mbali na ile clip ya mdada alitaka kuombwa namba na jamaa ,sema msela hana time[emoji28].