Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Zamani ukitongoza demu ilikuwa proccess ndefu kumpata na ukimpata una asilimia kubwa akatulia na wewe asikucheat na hata vizinga haikuwa sana kama sasa
Ila siku hizi ukitongoza demu tu kabla hata hajakujibu anaanza kukupa shida zake na kuomba hela ya kusuka, kodi, hela ya gesi, hela ya marejesho, hela ya mchezo nk...halafu hata ukimpa kila anachotaka bado hakuna guarantee kwamba atatulia na wewe ila masela wataendelea kumtomba kama kawaida
 
Ndo ukweli chamuhimu honga kwa level yako.
 
Mwanamke anataka usawa na mwanaume hasa hawa feminist,nature ya Mwanaume ni mamlaka/utawala,sasa hawa wanawake wa siku hizi atataka ampande kichwani Mwanaume wake,hakuna Mwanaume anayejitambua akakubali hilo,ni bora awe single ili kulinda brand yake ya uanaume.

Na ukiangalia hana anacho add katika maisha ya mwanaume zaidi ya utelezi,wanawekw wengi wa kibongo ni hasara.
 
Watongozaji sasa wanamjukumu mazito juu ya familia zao!!

Binafsi kuliko nitongoze mpita njia nimpe 20k, Bora pesa hiyo ni bebee watoto wangu nyama kilo,mkate na blueband [emoji1][emoji1]

Mtasema mimi m'bahili, sina pesa, but I don't care [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Vijana wa siku hizi hawajui tofauti ya kutongoza na kuhonga.
 
Huyu dada anavyoongea inaonesha kabisa yuko na The Princess Complex, and She's So Entitled, kutokana na mvuto wake. Bahati mbaya amekutana na mwanaume ambaye hajamshobokea kama wajinga-wajinga wengine, hilo limemuumiza kichwa mpaka sasa.

"Eti, nilimpa chance lakini hakuitumia" Yeye ni nani kwenye hii dunia hadi aombwe namba na kila mwanaume ?

Kiufupi mwamba hakuomba namba kwasababu alifahamu, " A juice is not worth the squeeze"
 
Back
Top Bottom