Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ipo PM nimeiacha tuNa km hawaamini walete waone km tutadil nayo ni mikausho tu.
Demu akivaa hivyo maana yake yupo mawindoni ukimwita tu inakutoka ten fasta chips + mishikaki na soda bado nauli boda kurudi kwakeLeo nilikuwa somewhere kuna dada anabonge la tako alafu kavaa zile skin zao za mpira yaan nisawa hajavaa kitu tulikuwa tumekaa tunapiga story dada akajipitisha karibu kwaakili ya haraka nilijua watu watamuongelea yaan ndokwanza wanaume tunaongelea mishe zetu unaweza sema hajapita mtu aisee Wanaume wamebadilika kwa kasi sana sjui kimewakumba nini hawana habar kabsa na wanawake hali ni mbaya jamani dadazetu wanateseka saivi soko gumu siopoa
Sasa hapo tutacomment nini kwa mfano?Huu uzi kiboko, saa nzima imepita lakini sijaona mchango wa mwanamke hata mmoja. Wanaandika halafu wanafuta, wanaandika tena halafu wanafuta..
Binafsi Mwanamke anaepaka makeup au yale manywele marefu wengine unakuta yana rangirangi kwakweli hawajawahi kunivutia naona ni kama pambo fulani tu lililopendeza ila halina faida kama mdoli.Tatizo wanawake hawajui nin wanaume tunahitaji.
Kwa zama hizi wanawake wana dress fake fake fake fake fake fake.
1.hivi wanaume tunavutiwa na wanawake wapaka makeup(fakeup)
2.wavaa mawigi
3.kucha bandia
4.makalio makubwa (out of shape) hakuna uwiano kati ya kiuno na makalio . Hivi nani kawadanganya
Unakuta jingine linakuwa kama sokwe sijui gorila
Sasa ma simp yanawajaza ujinga utasikia SFY.
Mimi nimeelewa hivi.
Wanacholalamika sio kwamba hawatongozwi , tatizo wanatongozwa na watu ambao hawavutiwi nao!
Sasa unakuta mdada yuko strong independent ana kila kitu niseme anajikuta anawavutia wazee waliojichokea wenye pesa kama yeye instead of young fine good lookn men.
Sasa wanaume tumeacha kuwa wanafiki
Labda ntajaribu kutingoza kama hivi.!
Wigi lako zuri!
Au niseme makeup imekukaa poa!
Your ass is fat, is it fake or real?
Dada! Hiyo sampuli uliyoitaja haiko kwenye kundi la wanaume mnaoingia gharama za kujiremba ili tuwaombe namba na kuwatongoza! Wanaume wanaojitambua hata wewe unawafahamu! Wanaume wanaojitambua hawataki mwanamke mwenye makeup, aliyetoboa sikio zaidi ya mara moja, aliyetoboa pua, ulimi, tattoo, matako bandia, mwongeaji saana, n.k.! Zaidi ya yote anayeomba hela kichefuchefu! TumewashtukiaSasa hapo tutacomment nini kwa mfano?
Wanaume wamechagua style ya maisha yao na wameona kuwa ni sawa kuishi hivyo.
Zama za leo wanaume wengi wanashindana na wanawake, wanasuka nywele, wanavaa hereni, wanafanya makeup, utakuta mwanaume ananukia marashi ya kike!
Ukichanganya na nyimbo zao za sasa za kulalamika, hizo nguvu za kutongoza watazitoa wapi?
Noma sana!Tumeanza kutumia ubongo
Tunatafuta pesa mzee, ukitongoza leo kesho unaambiwa shida zote; gas imeisha, kodi imeisha, sijui mama anaumwa, birthday, nywele zimefumuka nk ukipiga hesabu inasoma 1.5m ndani ya saa 24 je kwa mwezi utatoboka kiasi gani?Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Sasa hapo tutacomment nini kwa mfano?
Wanaume wamechagua style ya maisha yao na wameona kuwa ni sawa kuishi hivyo.
Zama za leo wanaume wengi wanashindana na wanawake, wanasuka nywele, wanavaa hereni, wanafanya makeup, utakuta mwanaume ananukia marashi ya kike!
Ukichanganya na nyimbo zao za sasa za kulalamika, hizo nguvu za kutongoza watazitoa wapi?
Mmmh mbona wenye Hela ndio hatuna muda kabisa wa kutongoza1.hatuna pesa
2. hatujiamini (utajiamini huna hela)
3.mizinga
Hakika, ukilinganisha thamani ya unachokilipia hakuna ulinganifuUkiacha kutongoza vipesa vyako vinasalimika , kwa hiyo uchague kubaki na pesa zako ama kuziondoa kwa neno nakupenda tu.
Wanasemaga real recognize real hii haipingiki.Binafsi Mwanamke anaepaka makeup au yale manywele marefu wengine unakuta yana rangirangi kwakweli hawajawahi kunivutia naona ni kama pambo fulani tu lililopendeza ila halina faida kama mdoli.
Hata hapa mtaani kwetu sijui nani kamdanganya Hidaya zamani alinivutia sana kwa ngozi yake ya asili, nilikutana nae dukan akiwa kasuka nywele zake kwa staili flan ya mistari kurudi nyuma kwakweli alikua hachoshi kumuangalia.
Sahivi anakula makeup hadi nikikutana Nae nimemsahau na makucha yale ya kubandika kama shetani anatafuta ukoo
Nusu saa?[emoji28][emoji28]Tongoza halafu baada ya nusu saa vocha imeisha, hana hela ya kula n. k
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kweli Aisee, neno linakuponza[emoji28]Ukiacha kutongoza vipesa vyako vinasalimika , kwa hiyo uchague kubaki na pesa zako ama kuziondoa kwa neno nakupenda tu.