Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Baada ya wanawake kuweka pesa mbele vijana nao wameona hakuna haja tena ya kutongoza na kumiliki demu kama huna mpango wa kuoa,ni telegram tu mzigo hadi geto[emoji28].

Mambo ya bby hela ya gasi,ya kusuka,ya kodi,akiumwa utibie,ya gauni fasheni mpya hii kero yote ya nini wakati maokoto yenyewe bado hayaja kaa vizuri.
Vijana wote wa hovyo mtaenda motoni[emoji26]
 
Upo sahihi
Lkn
Mimi nachoamini hao wanaume uliowataja ndio watongozaji wazuri.
Tatizo wanatongozwa na hao vijana wa kisasa ila wanapuuziwa na wanaume wanaojitambua ndio tatizo lilipoanzia.

Tatizo watongozaji ni hao wa ovyo ovyo wafanya makeup
 
Unamtongoza leo, kesho anakulalamikia simu yake imepasuka imevujia kioo, gesi imekata na anatumia mtungi mkubwa hujakaa sawa kodi 100k kwa mwezi inakaribia kuisha na mwenye nyumba wake anachukua ya miesi sita tu, hajui atalipaje, ghafla atakuambia mama yake mgonjwa na yeye ndio dada mkubwa wa familia, hujakaa sawa ATM kadi yake imemezwa na hajui afanyeje...

Yani binti anakua tegemezi kwako kwa kila kitu, ukiangalia kitu pekee anachoweza ku-offer ni mbususu ambayo hata pale riverside zinapatikana bwerere. Yani hata mawazo ya maendeleo hakupi zaidi ya stress na matatizo yasiyokwisha.
Dah![emoji28]
 
Wanaume wengi sana mfano Dar es salaam na mikoani wanasaidiwa na dada poa, ndio maana kila kituo kina dada poa na wanakamatwa kila siku lakini wanaongezeka sana, kwa sababu wana wateja sana.

Hii biashara inawalipa mpaka laki tano kwa Siku hasa wale maarufu na wa standard, sababu kubwa vijana hawatongozi kwa sababu ya kuogopa majukumu maana wengi wanajitafuta kwa hyo anaona kuliko ampe msichana eti 30k ya kusuka, Mara amnunulie simu na mambo kibao ambayo wadada wanaomba bora akajipoze kwa elfu kumi yake amalize haja zake.

wanawake pia wamekua warahisi sana yaani Ukiwa na pesa Unaweza kumpata bila kutumia nguvu nyingi it's like tu kununua dada poa tu and other they pretend wako calm kumbe usiku wanajiuza.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ila kutongoza sometimes ni kama kujishushia heshima.
Wewe ni Gwiji brother.

Hivi kuna raha yoyote huwa unajisikia wakat unamtongoza mwanamke.

Ila mimi naamini kunakuwga na tinga ling sensation flani hivi wakati mnatongozana yaani kuna mutual feeling yaani mna play game .

Sasa hawa wadada now day hata kutoa green light hawataki.
Tatizo ukimtongoza Mwanamke unajitengenezea mazingira magumu ya kumpata[emoji4]
 
Ila kutongoza sometimes ni kama kujishushia heshima.
Wewe ni Gwiji brother.

Hivi kuna raha yoyote huwa unajisikia wakat unamtongoza mwanamke.

Ila mimi naamini kunakuwga na tinga ling sensation flani hivi wakati mnatongozana yaani kuna mutual feeling yaani mna play game .

Sasa hawa wadada now day hata kutoa green light hawataki.
Unatakiwa kutengeneza sumaku tu ambayo itamnasa na sio kutumia nguvu nyingi,
 
Back
Top Bottom