Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Hakajitambui[emoji3]
 
Mm kuna mmoja nilibadilishana nae no,baada ya chatting za siku mbili tatu akaniambia ana harusi anaomba nimnunulie kijora mpaka hapo mjue sijamtongoza bado,kwenye mawazo nikajisemea nitamnunulia elfu 15k kitu gani ila hapo sijamjibu nitakununulia au lah!?,baada ya siku mbili ananipigia sim sasa mm mchana mara nyingi sim siwezi kutumia naacha mahali alipoona sim haipokelewi akaanza kuporomosha matusi na maneno ya kiswahili[emoji3][emoji23],nlipokuja kushika sim maneno niliyokutana nayo ilibidi nicheke tuu[emoji23][emoji23],it means kwamba alishajimilikisha kuwa mimi ni mpenzi wake[emoji849] so kuacha kupokea sim na kutomjibu kuhusu hio sare ya harusi ikawa kosa,kwa kifupi nilimpigia sim nikajaribu kumshauri kwa kifupi bado ana safari ndefu kupata mahusiano ya kudumu,ila sikumshangaa sana sababu kuna uzi nilisoma huku kuhusu wanawake wa kidigo nikacompare na maneno yake nikaona ile ni shida ya kabisa
 
Kuna msemo wa jamii fulani kuwa: 'nguvu ya mamba iko katika maji nguvu ya mwanaume iko mfukoni'. Kama hamna hela mtathubutu kumualika mwanamke mtoke out! Ndio maana mnaishia kusifia tu yule mzuri ana shape. Siku mkiwa na hela mtawatoa out tu.
Umeshindwa kuvumilia
 
Hizo ni imani tuu hamna chochote
 
Unajua maana ya neno asili wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…