JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Dah halafu yule demu mwenyewe wa twitter ni bonge la pisi! Hatari hatari! Halafu ana swagger!..... Mnyamwez niliishiwa pozi kwa ile clip mzee dah!Umeona mbali na ile clip ya mdada alitaka kuombwa namba na jamaa ,sema msela hana timeπ .
Mizuka ya kutongoza imekwisha siku hiziMambo ya kutongoza nimesha sahahu yamebaki kwa wanafunzi nitafute pesa kwa shida halafu niangaike tena ntatoa mwaliko na kupangilia bajeti ya shughuli nzima hutaki basi.
Kuna level ukifika mzee unakuwa kavu kabisa yaani huna time ,unakuta maisha yamekuchapa na usalitiwa kinoma unaona kawaida tu ..Dah halafu yule demu mwenyewe wa twitter ni bonge la pisi! Hatari hatari hatari! Halafu ana swagger!..... Mnyamwez niliishiwa pozi kwa ile clip mzee dah!
Mabinti wa siku hizi wamekuwaa wepesi mnoooWatu hawana shobo tena na mademu ni mikausho mikali ..
Macho yatauma sasa!Na hili mkalitizame.
Uzi ufungwe! Umemaliza kila kitu.1.pesa.
2.ngono imekuwa rahisi kupatikana.
Buguruni buku 3 na maji ya kuoga wapelekewa bafuni kwa adabu.
Kama maziwa twanunua dukani,kuna haja gani ya kufuga ling'ombe.?
Okoa bandari zetuMacho yatauma sasa!
Madem wanazingua, siku izi hatutaki kurudi nyuma kisa demu life ni gumu tusake dooo tu
Wepesi ukigusa tu anakugeuza Baba yake mzazi majukumu yote ya Baba yake mzazi anakuhamishia wewe na hapo akishatosheka anaenda kuruka na msela usiemjuaMabinti wa siku hizi wamekuwaa wepesi mnooo
Mkuu afu3 unapata mpaka maji ya kuoga?????
condom 500
majibu ndoo 200
sabuni 100
mafuta kujipaka 100
chumba 600
utelezi 1500
β’β’β’β’β’β’β’β’
3000
β’β’β’β’β’β’β’
Share Nasi MkuuUmeona mbali na ile clip ya mdada alitaka kuombwa namba na jamaa ,sema msela hana time[emoji28].
Share Nasi Mkuu
Wepesi ukigusa tu anakugeuza Baba yake mzazi majukumu yote ya Baba yake mzazi anakuhamishia wewe na hapo akishatosheka anaenda kuruka na msela usiemjua
Duu pesa imekuwa rahisi wapi huko tuje tuzitege?1.pesa.
2.ngono imekuwa rahisi kupatikana.
Tongoza halafu baada ya nusu saa vocha imeisha, hana hela ya kula n. k
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Good!Watongozaji sasa wanamjukumu mazito juu ya familia zao!!
Binafsi kuliko nitongoze mpita njia nimpe 20k, Bora pesa hiyo ni bebee watoto wangu nyama kilo,mkate na blueband ππ
Mtasema mimi m'bahili, sina pesa, but I don't care ππππ