Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
SawaSio chai boss, mimi pia ishawahi nitokea, nilipigwa mkono Msolwa sikusimama nikapita, nafika karibia na Ruvu ndo wananisimamisha, wanataka nirudi, ilikuwa kipengele kwa kweli. Ikabidi niache gari, nirudi mwenyewe.
Eksozi za machungwa kwa Sasa zinatoa Moshi mweusi hatari.allys kaua sana basi zake za yutong kisa kushindana na hizi scania
Televisheni, yaani mnaweza kuangalia kipindi chochote wakati wowote kinachorushwa na Azam tv.Tv na siyo video ahahaha mana yako nini mkuu
Alafu video inakuaje sasa mkuu ahahahTelevisheni, yaani mnaweza kuangalia kipindi chochote wakati wowote kinachorushwa na Azam tv.
Ana na vituo vya mafuta!Ana malori pia ya kubeba mafuta ( chapa Scania).
Hakika zimetepeta sana sana. Nyingine kaishazipunguzia route, zinapiga Mwanza - Dodoma. Hakika SCANIA ni gari, sio kama hizi machungwa, zinapeperushwa na upepoEksozi za machungwa kwa Sasa zinatoa Moshi mweusi hatari.
Body mchina engine mswedenIvi kaplicon ni gari ghan zile, Madereva wake wanabalaa lakin haziongelewi kabisaa
Ni muda wa kucheza na wajukuu na kufurahia kwa machache tuliyoyapambania ujananiAisee, kitambo
Scania the King of roadHakika zimetepeta sana sana. Nyingine kaishazipunguzia route, zinapiga Mwanza - Dodoma. Hakika SCANIA ni gari, sio kama hizi machungwa, zinapeperushwa na upepo
Kilimanjaro huyuhuyu anayelalamikiwa na wateja kuwa anakatisha nauli za luxury halafu mabasi ngalangala? Au kashusha chuma mpya?Kila mfanyabiashara ana model yake yake ya biashara. Mbona Kilimanjaro na Nacharo bado wana Scania kibao tu na zingine ni mpya kabisa?
Mabasi ya SUMRY.. Yalikuwa na mikono mingi ya wanasiasa.BIASHARA ZA TABIA FULANI MARA NYINGI ZIKIONEKANA ZINA KULIPA BASI VIONGOZI WAKUBWA WANATAKA KUWEKA PESA KWAKO WANUFAIKE.
NIMESHASAU KISA KIMOJA KUNA MAGARI YALI KUFA YALIKUWA YANA KWENDA SIJUI MOSHI,ARUSHA AU KILIMANJARO
Mkuu hivi zile Allys za VVIP na VIP bado zipo?Utachagua mwenyewe, uangalie Miti nje ama uangalie Tv.😂😂😂
1. Katarama
2. Ally's Star.
Huku 2 x 2 siti Ubao😂
Kule 2 x 1 siti Sofa🫡
Haupangiwi, utaamua mwenyewe kusafiri kama Kifurushi / usafiri kama Abiria.
Katarama (angalia miti nje)
View attachment 3032722
Ally's Star (Kila seat ina TV nyuma)View attachment 3032721
EF seriesMkuu hivi zile Allys za VVIP na VIP bado zipo?