Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Kilimanjaro mjanja sana huwa hanunui scania mpya. Ndio maana hata siku moja huwezi kumuona kwenye official page ya scania wakimuita mteja wao. Ama kuona ana bus scania latest series.

Dar express alinunua mpya sana akaona hasara akahamia kwa wachina
Dar express kilichomuua ni kutotunza magari
 
Back
Top Bottom