funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi.
Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji unaovuka barabara...hii ilikuwa ni hatari na ilinifikirisha sana kuona upo uwezekano tumepoteza wengi wenzetu kwa kutofanya design bora ya maeneo haya.
leo hii hakuna eneo lenye tabia hii limeachwa na sasa wakandarasi wapo field.
madaraja makubwa na karavati pana zinajengwa almost nchi nzima.
Hongera sana...