Subiri kidogo Hafrey amalizie robo iliyobakia kwanzaHii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi.
Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji unaovuka barabara...hii ilikuwa ni hatari na ilinifikirisha sana kuona upo uwezekano tumepoteza wengi wenzetu kwa kutofanya design bora ya maeneo haya.
leo hii hakuna eneo lenye tabia hii limeachwa na sasa wakandarasi wapo field.
madaraja makubwa na karavati pana zinajengwa almost nchi nzima.
Hongera sana...
Hata Mimi nimeona ila ngoja hafrey amalizie kwanzaHata maeneo ya Makanya nimejionea matengenezo makubwa
Sijuiuna memory ya GB ngapi?
Hapo umrmaliza kunijibu au nisubiri part 2 inskujs?Ni lini nimewahi kuja na hoja ya uongo?
Pandisha hii Changamoto ya Ujenzi wa daraja la Mabatini kwenye Social Networks mpaka sasa ni Kero na Magari hayapiti kwa wakati na Nje za Mchepuko Mbovu na Ndogo...Miezi 5 sasa hakuna MwangazaMabatini na Mkuyuni Mwanza, daraja la mto Simiyu, Morogoro yanajengwa njia nzima ya Moro-Dodoma
Yanajengwa kwa sababu ni kuelekea mwezi wa uchafuzi au ni kawaida,kama inavyotakiwa kwa miradi ya maendeleo?Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi.
Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji unaovuka barabara...hii ilikuwa ni hatari na ilinifikirisha sana kuona upo uwezekano tumepoteza wengi wenzetu kwa kutofanya design bora ya maeneo haya.
leo hii hakuna eneo lenye tabia hii limeachwa na sasa wakandarasi wapo field.
madaraja makubwa na karavati pana zinajengwa almost nchi nzima.
Hongera sana...
Nimekaa palee nasubiri hiyo ndoto niiote.vyovyote vile lakini hoja ni kwamba kero hiyo ya miaka mingi inaenda kutatuliwa