Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya
Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭
Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja kadogodogo kama huto apo chini?
eti wakuu?
👇👇