Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,982 Mar 18, 2025 #1 Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja kadogodogo kama huto apo chini? eti wakuu? 👇👇
Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja kadogodogo kama huto apo chini? eti wakuu? 👇👇
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 18, 2025 #2 Kila la kheri na ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw