Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

Mpaka moyo umedunda,private sector kumbe Kuna watu wanapokea million 7,na nimfanyakazi tu hayupo kwenye board may be,kumbe nipo mbali na dunia .
Kawaida sana mkuu.. hiyo hela watu kibao wanapokea... sema ndo hivo salary sio kila kitu ukifikiria sana ubora wa maisha haupo kwenye salary pekeake...

Mimi mahali nilipo miaka 2 inayokuja au nitakuwa kwenye hizo level za 6 mpka 7 ila nimeona is not worth it.. still sioni future kwenye private sector... halafu i am not enjoying
 
Unataka uhuru, private kubanwa sana.yaani bosi mmoja akighafirika kazi huna,wasiwasi kibao
 
Haha amka mkuu private sector hasa kwenye NGOs za kimataifa Watu wanavuta mipunga mirefu na wametulia tu

Halafu motivational speakers wanatudanganya eti bongo kutoboa hadi uwe mfanyabiashara tu

Watu mnadhani bongo waajiriwa wote wana njaa
Un organisation na hiz NGO wanakula pesa nzur sana... ila mimi nataka kula hela zao kupitia consultation works.. na zipo nyingi sana.. na huwez kupata consultation za maana kama sio academician..

Mwisho wa siku aisee.. wenye elimu ndo hutajirika asikuambie mtu... hizi consultation works wananyonga hizo dola elfu kumi kumi bila jasho
 
Hapo mkataba miaka mitano baada ya hapo anarudi benchi kusugua matako ajira yake sio ya kudumu

Hapo hana cha mafao ya kustaafu

Amekalia kuti kavu mda wowote wanakuondoa inategemea mabosi wameamkaje

Huna uhuru
Kwa miaka 5 anakuwa kaingiza zaidi ya milioni 300
Mtumishi wa serikali kwa miaka yake yote kuna wengine hawafikishi
 
Hapo mkataba miaka mitano baada ya hapo anarudi benchi kusugua matako ajira yake sio ya kudumu

Hapo hana cha mafao ya kustaafu

Amekalia kuti kavu mda wowote wanakuondoa inategemea mabosi wameamkaje

Huna uhuru
Yani muhasibu WA UN arudi kitaa aanze kupiga miayo.

Vijana tunadanganyana sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Un organisation na hiz NGO wanakula pesa nzur sana... ila mimi nataka kula hela zao kupitia consultation works.. na zipo nyingi sana.. na huwez kupata consultation za maana kama sio academician..

Mwisho wa siku aisee.. wenye elimu ndo hutajirika asikuambie mtu... hizi consultation works wananyonga hizo dola elfu kumi kumi bila jasho
Interesting.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom