Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
This is my principle. Niko private sector tangu nimalize intern, Organization niliyokaa sana nilikaa kama miaka miwili na miezi minne. Zilizobaki zote ni mwaka mmoja na nusu hivi. Hadi sasa nimeshafanya kazi organizations 7. Salary yangu ya sasa ukilinganisha na ya 2014-15 ni zaidi ya mara tano.Kua kwenye private sector hua kuna advantage endapo utakua ni mtu wa kutafuta kazi iliobora deile...unaanza na .e ofisi fulani unakula 1.5m unafanya kazi miaka 2 au 3 ukitola hapo unaelekea sehemu ingine possibility ya kudouble huo mshahara ni kubwa sana hiiukikaa hio sehemu ingine miaka 2 kufika kwenye 6m-8m ni jambo jepesi tatizo la watu wengi haswa wa private sector ni kutaka kukaa sehemu moja miaka mingi i.e unakaa ofisi moja miaka 6-7 unasubiria nini...
Ila pia kuna hasara yake, wengine wanaku-label kama 'job-hopper' na mtu ambae sio loyal na sio reliable. Nimeshakutana na hilo swali la kwamba inaonekana wewe sio mtu wa kukaa sehemu moja,u are a job-hopper kwenye interviews, ila huwa nalipangua kisiasa.