Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

Mkuu

Kula wanafunzi nimeisema kama joke tu..

Naona upo deep and comfortable zaidi kwenye environment ya kuajiriwa....

Hiyo consulting firm usipoangalia itakua ni extension ya your ajira and not a real bankable self driven business....

Lakini sawa....follow your passion man...na infact utapata success
Yap mkuu.. by the way its life.. hakuna formula ya mafanikio.. Kila mtu anajaribu perspective zake... kwa sababu maisha yenyewe haya tutakufa tutaiacha dunia.

Najaribu kuweka mazingira ya ku die in peace ndo mana nafukuzia passion.
 
Mkuu umepiga hatua haraka haraka Sana,Mungu amekunyanyua Sana Maana miaka kadhaa iliyopita Hali ilikua Tete Ila Sasa hivi Naona unachezea kwny Tsh. mid-seven hongera sana boss.View attachment 2285200View attachment 2285201
Mungu ni mwema mkuu na bado sijachoka kuzitafuta na kuzipiga hatua. Sijawahi kujisikia nimeshiba hata siku moja ndo maana hara mshahara nilionao sasa haunishtui kabisa maana naona nna uwezo wa kupata maradufu.

Ni kweli miaka 6 iliyopita nilikuwa broke kaboka mchizi. Ila now its a history.. Sitafuti tena hela ya kula kama nilivoandika huo uzi miaka 6 iliyopita..
 
Kusanya mtaji ukafanye mambo yako kwenye academics napo hakuna urahisi unaofikiri......kwanza ni sababu serikali imelala ila wakiamua kufuata miongozo watu wafanye research hakuna hiyo free time unayoisema.
Ongeza na teaching load ilivyo kubwa utazunguka na booklet mpk ukome.
Halafu hamna hela kiviile utatoka kwa tabu sana.
Angalia madaktari wengi waliokufundisha Wana lipi la ajabu.
Ni sawa mkuu... mimi fursa naiona kubwa sana wala siyo kwa perspective ubatodhania wewe...
 
Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana.

Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya kujitafakari, nimeona endapo nitabaki huku nilipo kwa sasa, sio tu kwamba uchumi wangu utadumaa ila kwa level ya stress nahisi naweza pia nisiishi a quality life ambayo naiota.

Option nnayoichukua ya tutorial assistant itakuwa na mshahara pungufu mara mbili ya unaopata sasa ila kiukweli naona kama ubora wa maisha utakuwa mkubwa.

Halafu kingine ni kwamba, hizi nchi zetu miaka 15 wataokuja kuifaidi ni wasomi kwahiyo nimeoa nichukue huu mrengo wa kuwa academician ili hii miaka 5 au 7 inayokuja nihakikishe napata kabisa na PhD.

Nimekaa chini ninefikiria nimegundua hapa nilipo inawezekana nacheza makidamakida. Watu wapo kwenye academic wanakula good time sana aisee, kuna research, consultation zinawaingizia hela ndefu sana.. Halafu pia free time kibao.

Kuna jamaa aliweka uzi hapa kuhusu uzuri wa kazi za U tutorial na u assistant lecturer watu wengi wakamdharau.. ila kwa kweli naomba nimuunge mkono. Sisi tulio kwenye sekta binafsi kama mshahara wako ni chini ya milioni 7 kwa mwezi wewe jua bado unaishi maisha ya chini sana kulinganisha academician. Ukitaka kuligundua hilo, angalia maisha ya academician wengi na vitu wanavomiliki. Na ndio sababu ni mara chache sana mtu akishaingia kuwa academician akaacha akaenda kufanya ajira nyingine ila nimeshuhudia mara nyingi watu wakiacha kazi mpaka benki kuu na kwenda kuwa academician.

Utumishi naombeni sana mfanye mambo fasta fasta.. nimeomba nafasi nyingi sana najua lazima ntaambulia japo moja, nimechoka kupelekeshwa na vilaza huku kwenye private sector.
Academician kwa GPA ipi?
 
Kimsingi that was my dream job ila sasa sikufanikiwa kuokota the required grades. Nilimiss 3.8 Gpa by a few points it hurt me alot sababu naelewa nilihujumiwa tu na uwezo ninao. Huwa nawaza sijui nifanye post graduate na masters niweze ingia huko ila nikiwaza competition ilivyo dah.
Ila walimu wa chuo wana enjoy sana muda wao hasa wanaoishi campus.
Nashukuru na wewe unaitazama hii career kwa jicho pana
 
Maskini ya Mungu... umenikumbusha mbali mkuu.. Yap nilikuwa jobless.. Ngoja nikupe mchapo baada ya hapo ilikuwaje.

Mwezi wa 11 mwaka huo huo nilipata kazi ya laki saba kwa mwezi. Mpaka mwaka 2020 mshahara ulipanda na ukawa unacheza kwenye 2,600,000 mwaka jana mwezi wa sita nikaotea mchongo kwenye kampuni ingine kwa salary ya 4,100,000 ndo mana nikakuambia baada ya miaka miwili ntakuwepo kwenye milioni 7..

Nilipitia Magumu ndio ila sikukata tamaa mkuu.. Endelea kufukua makaburi
Tafuta pesa bro, bado hujachelewa huo mshahara wa m 4 utakuja kuupata siku moja ,haya maigizo ya jf achana nayo watu wanaolipwa m 4 na zaidi hawana mwandiko kama wako ww ni jobless kataa au kubali but unayonafasi ya kupambana
 
Kawaida sana mkuu.. hiyo hela watu kibao wanapokea... sema ndo hivo salary sio kila kitu ukifikiria sana ubora wa maisha haupo kwenye salary pekeake...

Mimi mahali nilipo miaka 2 inayokuja au nitakuwa kwenye hizo level za 6 mpka 7 ila nimeona is not worth it.. still sioni future kwenye private sector... halafu i am not enjoying
Ukitaka kuacha nistue au nilisishe bc
 
Tafuta pesa bro, bado hujachelewa huo mshahara wa m 4 utakuja kuupata siku moja ,haya maigizo ya jf achana nayo watu wanaolipwa m 4 na zaidi hawana mwandiko kama wako ww ni jobless kataa au kubali but unayonafasi ya kupambana
Sasa kaka milioni 4 ikipigwa makato inabaki kama 2.8 hivi ambayo ukipiga panga ya mkopo inabaki ka 1.9 kwa mwezi.. we hiyo ndo unaona kwamba ni hela ndefu sana?
 
Kua kwenye private sector hua kuna advantage endapo utakua ni mtu wa kutafuta kazi iliobora deile...unaanza na .e ofisi fulani unakula 1.5m unafanya kazi miaka 2 au 3 ukitola hapo unaelekea sehemu ingine possibility ya kudouble huo mshahara ni kubwa sana hiiukikaa hio sehemu ingine miaka 2 kufika kwenye 6m-8m ni jambo jepesi tatizo la watu wengi haswa wa private sector ni kutaka kukaa sehemu moja miaka mingi i.e unakaa ofisi moja miaka 6-7 unasubiria nini...
 
Hapo mkataba miaka mitano baada ya hapo anarudi benchi kusugua matako ajira yake sio ya kudumu

Hapo hana cha mafao ya kustaafu

Amekalia kuti kavu mda wowote wanakuondoa inategemea mabosi wameamkaje

Huna uhuru
Wewe hauna unachokijua unachotakiwa kua eligible ili uweze kulipwa pension ni kuchangia katika mfuko husika kwa miezi 180 ambayo ni miaka 15..pia pia kupata ajirs ya miaka 5 kwa mkataba sio issur unaweza ukakaa hapo miaka 3 ukaomba kazi ingine ukazidisha mara mbili mshahara tena kabla ya hapo unaweza ukatriple kwaio kwa miaka hio 5 au 6 mtubamaezidisha mshahara wake wa awali mara 4 huyo huwezi kumkuta utumishi wa umma ni rushwa na wizi tu ndo utakao kutoa...😂😂😂
 
Kama wewe ni mtumishi wa umma ukitaka uumie roho angalia profile za uliosoma nao huko linkedin hapo wewe miaka 5 cheo kimoja wenzako wamebadili ofisi mara 3 mpunga mrefu wewe unapambana na mkurugenzi..akupitishie malipo yako ya uhamisho wa kutoka newala kwenda kasesya...😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom