TENA NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MILIONI 60!!Napata tabu sana kuielewa ccm na serikali zake, huyu Dokta Saqware alitumbuliwa enzi za hayati Magufulu na juzi akarudishwa katika nafasi yake ileile na Rais Samia! Je ni kwamba watu wameisha hamna wapya?
View attachment 2070281
View attachment 2070282
Huyu maza udini una msumbua snNapata tabu sana kuielewa ccm na serikali zake, huyu Dokta Saqware alitumbuliwa enzi za hayati Magufulu na juzi akarudishwa katika nafasi yake ileile na Rais Samia! Je ni kwamba watu wameisha hamna wapya?
View attachment 2070281
View attachment 2070282
Ni kweli mkuu lakini tusipokuwa makini keki ya taifa italiwa na wale wale tu!!Magufuli alimtumbua kwa chuki...
Mama kamrudisha kwa Upendo...
Ndio ujue tofauti ya chuki na upendo....
Havitangamani.
MTANZANIA!!Huyu atakuwa Mzanzibar
Tetetet mzanzibarMTANZANIA!!
Kwani kama alitenguliwa na Magufuli ndio nini? Kila mtu na timu yake.Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta.
Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye alitenguliwa na Hayati Magufuli mnamo 29/06/2019.
View attachment 2069042
View attachment 2069043
Kumrudisha huyo Ina maana na yeye kamtumbua aliyekuwepoMagufuli alimtumbua kwa chuki...
Mama kamrudisha kwa Upendo...
Ndio ujue tofauti ya chuki na upendo....
Havitangamani.
Kwani magufuli ndio alikuwa mset standard??...kisichofaa kwa Magu kinaweza faa kwa suluhuNapata tabu sana kuielewa ccm na serikali zake, huyu Dokta Saqware alitumbuliwa enzi za hayati Magufulu na juzi akarudishwa katika nafasi yake ileile na Rais Samia! Je ni kwamba watu wameisha hamna wapya?
View attachment 2070281
View attachment 2070282
Kama ungesikiliza hotuba ya juzi, Chuki ya wanaotaka kujiingiza kugombea 2025 hapo pia ipo.Chuki Haina mwenyeweMagufuli alimtumbua kwa chuki...
Mama kamrudisha kwa Upendo...
Ndio ujue tofauti ya chuki na upendo....
Havitangamani.
Kapewa nafasi ya mtu aliyemaliza muda wake... yani kahamishwa tu.Kumrudisha huyo Ina maana na yeye kamtumbua aliyekuwepo
Wapo ila si wa mchongo.Nchi hii kubwa lakini kama ina watu kumi tu, hao hao wanatolewa na kurudishwa, hakuna wengine wenye sifa?