Napata tabu sana kuielewa ccm na serikali zake, huyu Dokta Saqware alitumbuliwa enzi za hayati Magufulu na juzi akarudishwa katika nafasi yake ileile na Rais Samia! Je ni kwamba watu wameisha hamna wapya?
View attachment 2070281
View attachment 2070282